habari wana jf
Niko Boko-Dar,nahitaji king'amuzi cha startimes,aliyenacho ani PM
Emwahaji. Una tatizo gani ? nyama bado iko buchani. kuna steki. fileti. nundu hata mbavu. iweje wewe ununue utumbo wa jana ulio china ?? Achanana startimes ni zaidi ya dagaa waiochina.
habari wana jf
Niko Boko-Dar,nahitaji king'amuzi cha startimes,aliyenacho ani PM
tuwasiliane mkuu kuhusu king'amuzi
mkuu, naona unajiandaa na world cup. vinatangazwa sana na vitanunuliwa sana msimu huu ila sina uhakika kama vimeboreshwa,
nipe 60elfu nikupatie full remote,antena ya ndani ni pm