Nina 160k cash, nahitaji infinix hot 10

Nina 160k cash, nahitaji infinix hot 10

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,365
Reaction score
21,743
Habari wakuu .

Budget yangu ni hiyo hapo juu 160,000/= nahitaji simu aina ya infinix hot 10 imeyonyooka..

Niko DSM,

Uzi tayari
 
Hii hapa

20220215_025155.jpg
 
sio kweli mkuu simu ipo hewan

Nimeongea nao wapo kitapeli zaidi ...nimewambia nipo dsm wakasema wanamaduka dsm kule shekirango nikasema jina la duka nifike kuchukua ,wakageuka wakasema simu inabidi zitoke Zanzibar ila zinafikia shekirango hivyo niwatumie hela nusu then nyingine nitamaliza wakileta mzigo .....nikao a hawa ni wezi tu nikamblock falaa yule ....
 
Bado hujapata?? ongeza ifike 180 nikuletee simu
 
Nimeongea nao wapo kitapeli zaidi ...nimewambia nipo dsm wakasema wanamaduka dsm kule shekirango nikasema jina la duka nifike kuchukua ,wakageuka wakasema simu inabidi zitoke Zanzibar ila zinafikia shekirango hivyo niwatumie hela nusu then nyingine nitamaliza wakileta mzigo .....nikao a hawa ni wezi tu nikamblock falaa yule ....
Walitaka wakupige mchana kweupe Deejay nasmile umeleta tangazo la kitapeli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom