Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,289
In TzUnauliza bei ya Tz au dunian kote kipindi inatoka?
In TzUnauliza bei ya Tz au dunian kote kipindi inatoka?
Utofauti utakuja kwenye magem ya badaeNimecheza Ps4 pro (recently farcry 5) alaf Ps5 (sasa nacheza farcry 6). sioni utofauti mkubwa sana wa graphics
Ps6 ikitoka utasema tofaut kubwa ilikuwa kwa ps5 na ps4 tuPs2 na ps 3 zina utofauti sana.. ps 3 na ps 4 zina utofauti mkubwa sana.. na ps 5 na ps 4 hazina utofauti sana
Na watu weng tv zao bado zina 60htzsure utofauti upo kwenye graphics tena utaona kupitia tv yenye resolusion ya juu,Japo kidogo Ps4 Pro inaweza ingia kwa Ps5.
Refer Ps4 Pro vs slim na fat utofauti wake ulipo
Ps4 pro na ps5 huenda kweli utofauti ukaonekana mdogo.Nimecheza Ps4 pro (recently farcry 5) alaf Ps5 (sasa nacheza farcry 6). sioni utofauti mkubwa sana wa graphics
Me sijuagi bei za Tz maana kila seller uwa na bei yake labda kufanya makadilio ya bei kama ni kuanzia laki kadhaa mpaka kadhaa.In Tz
Basi weka za huko dunianiMe sijuagi bei za Tz maana kila seller uwa na bei yake labda kufanya makadilio ya bei kama ni kuanzia laki kadhaa mpaka kadhaa.
Around 500usd kwa miaka hyo ya 2006 Sijui 2007Basi weka za huko duniani
What about Now?Around 500usd kwa miaka hyo ya 2006 Sijui 2007
Sina hakika kama wanaziproduce uko mbele. Ila kwa bongo zinacheza kwenye 350kWhat about Now?
So zimetoka milioni point something mpaka laki tatuSina hakika kama wanaziproduce uko mbele. Ila kwa bongo zinacheza kwenye 350k
Miaka iyo dollar to sh ilisimamaje?So zimetoka milioni point something mpaka laki tatu
Vipi inflation?Miaka iyo dollar to sh ilisimamaje?
Ndio tudude gani hyo
Twa kucheza gameNdio tudude gani hyo