KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Mpaka sasa bado sijaona tofauti ya ps5 na ps4
Mimi naona na kutoka ps2 kwenda ps3 walifanya kaziSony waliweza kuonesha tofauti kubwa kwenye playstation 2 tu... yaani mtu aliyecheza playstation 1 alipoicheza ps2 akakubali sony wameumiza kichwa .
Ila zilizofata ps3, ps4 , ps 5 game play yake na graphics zinafanana fanana
Tofauti ziko kwenye 1,2 na 3 tu.Sony waliweza kuonesha tofauti kubwa kwenye playstation 2 tu... yaani mtu aliyecheza playstation 1 alipoicheza ps2 akakubali sony wameumiza kichwa .
Ila zilizofata ps3, ps4 , ps 5 game play yake na graphics zinafanana fanana
Mpaka sasa bado sijaona tofauti ya ps5 na ps4
Labda 1.5 mwisho kwa mpyaMkuu, ipo brand new, Disc edition na ina Dual sense charger, Price ni 2M
Tofaut ni kubwa, na utofauti utaendelea kuongezeka kadri miaka inavyoongezekaMpaka sasa bado sijaona tofauti ya ps5 na ps4
Wacheza gem tunaona utafauti mkubwa sanaTofauti ziko kwenye 1,2 na 3 tu.
Kuanzia PS4 maboresho yalishafikia mbali sana kiasi kwamba tofauti ni za hardware tu ila muonekano wa graphics unafanana
Ps2 na ps 3 zina utofauti sana.. ps 3 na ps 4 zina utofauti mkubwa sana.. na ps 5 na ps 4 hazina utofauti sanaSony waliweza kuonesha tofauti kubwa kwenye playstation 2 tu... yaani mtu aliyecheza playstation 1 alipoicheza ps2 akakubali sony wameumiza kichwa .
Ila zilizofata ps3, ps4 , ps 5 game play yake na graphics zinafanana fanana
Ps6 ikitoka itakuwa kali kiasi kwamba ps4 zitaanza kuuzwa laki 2 mpyaPs2 na ps 3 zina utofauti sana.. ps 3 na ps 4 zina utofauti mkubwa sana.. na ps 5 na ps 4 hazina utofauti sana
Sahau kuuzwa laki2 labda upate console tu bila pad na iwe usedPs6 ikitoka itakuwa kali kiasi kwamba ps4 zitaanza kuuzwa laki2 mpya
Sure utofauti upo kwenye graphics tena utaona kupitia TV yenye resolusion ya juu, Japo kidogo Ps4 Pro inaweza ingia kwa Ps5.Utofauti upo mkubwa :
kwenye graphics, tatizo ni TV tunazotumia, tumia TV kama 4K QLED, 8K na kuendelea.
pia hizi PS4 ina compatibility na accessories nyingi ikiwepo VR etc
Pia acceleration na stance kwenye ps5 iko juu.
Kwan ps3 zilipotoka ziliuzwa shngap na saiv znauzwa shngap?sahau kuuzwa laki2 labda upate console tu bila pad na iwe used
Unauliza bei ya Tz au dunian kote kipindi inatoka?Kwan ps3 zilipotoka ziliuzwa shngap na saiv znauzwa shngap?