Nin nifanye ikifika weekend

Sijamwelewa mleta thread! Inamaanisha anaskia baridi?
 
Muhimu mkuu..Wengine majanga..Nilikutana na mmoja huyo hatari..Bila kuwa na pic ya gf wangu kwenye wallet nisingefunga goli hata moja..Ilibidi niitoe niwe naiangalia atleast ushindi ndo ukaja

Hahahah
Umepinda wewe walah
 
Pole fanya mazoezi kila weekend !!!!!!Siku hizi dunia imeharibika hakuna urafiki wa kweli ....Kuna udanganyifu .Au kama tayari umepata chanjo la kukinga mateso ya moyo
 
Utakuwa mgonjwa wewe,unatafuta wa kufa nae
 
Pole fanya mazoezi kila weekend !!!!!!Siku hizi dunia imeharibika hakuna urafiki wa kweli ....Kuna udanganyifu .Au kama tayari umepata chanjo la kukinga mateso ya moyo

Asanteh Kwa ushauri...!Bt as a human being..,kua na partner muhimu
 
kumbe ishu kutoka tu? toka nje ya nyumba alafu rudi ndani

Elimu muhimu...mwambie aliyebarikiwa kusoma angalau mpka form 4 kwenye familia akusaidie kutafsiri kithungu hcho kidogo nilichoandika...
 
Asanteh Kwa ushauri...!Bt as a human being..,kua na partner muhimu
Unajua mabango yanalipiwa siku hizi? Hakuna cha bure. Naamini umepata patna wa kuihuisha nafsi!!
 
Elimu muhimu...mwambie aliyebarikiwa kusoma angalau mpka form 4 kwenye familia akusaidie kutafsiri kithungu hcho kidogo nilichoandika...
sa umeandika english gani yamaana hapo we kilaza mpaka watu washindwe kuelewa?
 
Ungekua unajua kusoma ungejua kutofautisha out na outings...pyee,rudi shule

kweli we kilaza aisee.... sasa ayo maneno mawili umeyatoa wapi? maana haya husiki hapa na sijui unayahusisha vipi na thread yako au replies zangu?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…