nimwelewe vipi?

nimwelewe vipi?

naomba nieleweshe jambo hapa, kama mdada kaitoa mimba yako je anaweza kweli kuwa na mapenzi na wewe?
kama mimba umeikubali utaihudumia achilia mbali ni yako au si yako basi huyo mwanamke amefanya makosa kuitoa na kwa upande wangu huyo sio wife material na achana naye japo ni vigumu kwa kuwa ulishampenda... Time heals everything, utampata ambaye anamuogopa mungu ambaye hata kama akipata ujauzito kwa kubakwa hawezi kutoa hiyo mimba. All the best!!
 
Mbona nimrkwambia apo kwen post? Achana naye chapa kazi utapata mwingine. Pole sana
Kaizer hebu kuja pande la sredi la mwanafunzi mwenzio !ako ana booonge la swali!na mtindo wako wa majibu mafupi mafupi kwenye swali la essay kuna siku ntakulima maksi!
ikiw short answer give one but wen it ana essay question please follow the intructions!next time sikupi hata za wino!
huoni mwenzio Asprin anavojitahidi kidogo kidogo!
 
Last edited by a moderator:

Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kukurizisha mwalimu wangwe. Mpaka nikufikishe kileleni, naam kilele cha furaha.
 
mkuu usiseme hivyo. labda kama wewe umejitosheleza kwa kila kitu. wengine hao wapenzi wetu tunategemea watusaidie sana, hasa kwa matendo ya kimwili zaidi.

Sina maana hiyo bro, namaanisha ukiishi kwa kumtegemea mtu kwakuwa linapokuja suala kama hili ndiyo matokeo yake kama haya inakua ngumu kufanya mambo mengine...
 
Aliyeruhusu hilo Jaribu likupate, ambaye alikivusha kwenye huo mtihani na akakuletea huyo binti ndiye atakaye kupa nguvu, mke mwema, watoto na maisha yenye upendo, uvumilivu na amani.

Wasiwasi (mawazo) hautakusaidia kwani uzoefu unaonesha, huharibu zaidi ya kujenga!

Muamini Mungu, mengine yote yatakuja!
asante sana dada kwa kunitia moyo. naomba niwe napata mafundisho kwako ili nijione kama sehemu ya dunia hii.
 
kama mimba umeikubali utaihudumia achilia mbali ni yako au si yako basi huyo mwanamke amefanya makosa kuitoa na kwa upande wangu huyo sio wife material na achana naye japo ni vigumu kwa kuwa ulishampenda... Time heals everything, utampata ambaye anamuogopa mungu ambaye hata kama akipata ujauzito kwa kubakwa hawezi kutoa hiyo mimba. All the best!!
asante sana mkuu. umenitia moyo sana kwa hili.
 
Sina maana hiyo bro, namaanisha ukiishi kwa kumtegemea mtu kwakuwa linapokuja suala kama hili ndiyo matokeo yake kama haya inakua ngumu kufanya mambo mengine...
mkuu sikumtegema kwamba ananipa maisha la bali kama faraja kwani upweke na hali yangu viliniondolea kabisa faraja na amani nafsini mwangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom