Nimwamini nani ?? shetani kawa malaika?

Plan Of Action

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
462
381
samahani kwa kuwarudisha mbali.. Ila wanasiasa kwa kweli siwaamini sana
1469858490819-jpg.373214
 
Nitampa MTU kura yangu but sio chama
Ukiwa muumini was chama flani sometime hata uwezo wa kufikiri unakuwa finyu kwa kumsikiliza zaidi mkuu wako
ASIKUAMINISHE MTU ETI HIKI CHAMA NDO MKOMBOZI
WOTE WACHUMIA TUMBO TU!
 
Yaani wanafiki chadema kuliko maelezo. Halafu hawaoni hata haya.!! Lengo lao ni kutufanya sisi mitaji yao. Hawatujali kama wanavyojibaraguza wao. Wao wanachojali ni matumbo yao na ndio maana wakamchukuwa lowassa bila kujali ni wanachedema wangapi walimwaga damu yao kukitetea chama. Mzee wa rula, black woman na wana arusha wing wote mnakumbuka ile mikutano ya chadema arusha na damu ilivyokuwa inamwagika. Nasema hivyo kwa kuwa mimi mwenyewe kwenye mikutano na kupigwa virungu ilikuwepo. Tulipenda kwa kuwa ilipinga ufisadi. Lakini lo walivyojichanganya
 
Back
Top Bottom