Nimwambie Ukweli?

LadyAJ mapenzi hatari sana ila kwa nn upigwe hivo? Me namuombea tu afunguke akili yake ajijue thamani yake

Madame S
 
Mpuuzi tuh uyo,mpige chini..wakurya hatuna sifa hizo sasa hivi..!dunia imebadilika.atakuua kwa ujinga wake wa wivu alafu asingizie ukurya.
 
story bado anatunga huyo jamaa au kaacha maana alivyohack account yako akajifanya ni wewe aliongea mengi humu lakini mi nkajua shabiki mwenzangu wa yanga hawezi kufanya hvyo lazima yule mwandika story kafanya kitu
 
Duh tutake radhi wakurya.
Naombeni mpuuze hilo neno "Mkurya" kama alivyolitumia mtoa mada.
Wakurya ni wakarimu na wenye upendo sana.
 
Wewe una matatizo! Kwani unafikiri hakuna mwanaume mwingine wa kukupa vitu km yeye au zaidi yake? Subiri uwe kilema akuache yeye!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dadeek sijui nimtukane tusi gani uyu me mwenzangu pumbaaf
watu wengine tunamtafuta huyo mwanamke mwenye mapenzi ya kweli miaka yote hatuoni yeye anapiga ,,,,,shiit!!!!
 
Huo ukweli unaotaka kumwambia ni UPI?BTW pole.
 
Nawe ni mkurya,jina lako kama la dem wangu mtt wakikurya.
 
Ile tabia ya kwanza ya matusi aliyokuonyesha humu ndo ilikua yake huo upole aliokunyesha ilikua ana pretend sasa amerudia tabia yake baada ya kuzoeana mi nakushaur achana nae usiendekeze sana mapenz angalia what is best for u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nafukua makaburi ili kuunganisha dots....
 
Wivu ni ugonjwa mbaya alie nao aspojtambua na kuchukua hatua za kujidhibit hakuna afuen........ Muv on mapenz ya kupgna hayana nafas unless unatafuta kilema
 
hahaàaaa
 
Wakurya wanajua kupenda, wana wivu, wanakurupuka kwene maamuzi hasa kwa mpenz/ au mke usiombe.....km unampenda hali ndo iyo iyo shouger angu akuna kitachobadilika itafikia ata ukiongea na mama anahisi unaongea na njemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…