Nimwambie Ukweli?

Dahh... Asee kam ni kweli nakupa pole bi mdada! Maisha ni yako ivo unaweza amua lolote khs io hali, by the way y ujitese waqt maisha ynyw aya mafupi dada angu, kuna chchte mungu kakunyima? Ebu acha ujinga, utakufa cku kabla hazjafka ww.... Ohoo! Pambana n iyo hali yako ujikwamue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee sasa watu wa Mara ndio hatutakiwi au?
 
ulkosea sana kumrudia..mwambie ukwel muachane la svyo utakula kchapo had bas

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Huyo mtu wako ana narcissistic personality disorder. Igoogle hiyo disorder halafu utajifunza mengi.
 
Nyagei oaneni wenyewe kwa wenyewe, kwa sababu mwanamke wa kikurya anapenda kupgwa kama ambavyo mwanaume wa kikurya anapenda kupiga
 
Nyagei oaneni wenyewe kwa wenyewe, kwa sababu mwanamke wa kikurya anapenda kupgwa kama ambavyo mwanaume wa kikurya anapenda kupiga
 
Na inabidi ajiulize hilo nibomu au mpenzi kwamba likilipuka lazima alie


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Show za kibabe hazijawai kumuacha mtu salama Pambana na Hali yako aiseee

2logM@km
 
ngumi ukuryani ni tambiko but anyway pole sana kwa mikasa hiyo, unampenda sana ni nia ya kuonyesha wewe ni honest ila kumbuka hujawahi mlilia Mungu kuhusu mikasa hiyo, unajua swala la ndoa au mahusiano lilianzishwa na Mungu ni vyema ungemlilia angekusikia maana pasipokuwepo Mungu ibilisi yupo kuharibu
Upendo ni asili ya Mungu ili asikupige tena hebu jaribu kuspend muda hata ufunge u umuombee kwa Mungu njia zitafunguka amani yako itarejea mara
God bless you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…