NYAMUHANZI
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 187
- 390
Bora uwekeze kwingine kuliko kwenye mapenzi...hasara iko wazi sanaApambane tu na hali maana mapenzi hayanaga macho wala akili!
young kilimanjaro
Kabisa,ile sehemu hustahili kuwekeza chochote kwa usalama wako.Bora uwekeze kwingine kuliko kwenye mapenzi...hasara iko wazi sana
brain is the beautiful part of the body.
Wewe usiombe kukutana na watu wenye upendo, kuna watu wanaupendo hautafakariki yawezekana ni kweli, ila upendo ni kitu cha ajabu sanaNahisi ni hadithi ameikopi sehemu akapesti huku!
Upigwe ufungiwe ndani bado upo tu, dada wa mjini tena dsm sijui kama hatakuitia polisi
brain is the beautiful part of the body.
Yaani huko me stakaa niwekeze, siyo moyo wala pesa!Kabisa,ile sehemu hustahili kuwekeza chochote kwa usalama wako.
young kilimanjaro
Labda, ila mimi nimeshindwa kuunganisha dot pale aliposema alipendwa sana lakini ghafla alivohama akapigwa na kufungiwa ndani!Wewe usiombe kukutana na watu wenye upendo, kuna watu wanaupendo hautafakariki yawezekana ni kweli, ila upendo ni kitu cha ajabu sana
Hahaha tatizo moyo nao haunaga msimamoYaani huko me stakaa niwekeze, siyo moyo wala pesa!
brain is the beautiful part of the body.
Na hata kama unapenda mtu hadi unakua huoni unaangalia na hapo unapopendaBora hayo... hachelewi kumkeketa kwa kisu...
Mkurya si mtu wa kispotispoti...
Ila kuna watu wengine wanafikiri vichaa ni lazima wawe wanaokota makopo barabarani... Afu wakija kuuliwa watu wanasingizia mapenzi ya Mungu. Mungu kashakupa akili unataka akufundishe namna ya kuitumia?
Tatizo linaanzia hapo!Hahaha tatizo moyo nao haunaga msimamo
young kilimanjaro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madame S
Anampenda jamani ndio maana amekua mgumu kuchukua maamuzi hayoyaa..nafikiri hii ndo njia sahihi kwani anaonekana anampenda licha ya uwepo wa masumbwi, akija tolewa macho ama kuvunjika mgongo ndipo atajua umuhimu wa kujihami, vile vile vyombo vya sheria vipo stalking ni harassment hyo, kwanini asiende kumshitaki ?
Mbona Mkurya wangu hapigi?WEWE MWANAMKE NAKUSHAURI USIACHANE NAYE MPAKA AKUTOE JICHO.
HIVI, HUJUI KUWA HAKUNA MKURYA ASIYEPIGA? WAKURYA KUMPIGA MKEWE NDYO MAHABA YAO HAYO.
WEWE UMEVAMIA MTU BILA KUJUA HSTORIA YA KABILA.
JIONGEZE.. SIWEZ KUKUSHAURI UMRUDIE AU KUACHANA KWA 7BU WAKATI MNAANZA MI SKUWEPO.. ILA NDIYO HVYO YANI, WAKURYA NA VIPGO NI KAMA KUNYWA MAJI.. MKUMBUKE binti miss wakati anaweka vgezo vya mume anayemtaka alisema asiwe mtu wa mara.