Nimwambiaje?

Hivi Rose upo, ntakupataje?
umeona hiyo sredi mkuu?
watu wamefika bei.........wangejua wanakutana na njemba ina manywele kila sehemu ya mwili, na misuli kama Joseph Kaseba wasingehangaika........hahahahahaaa!

Kibua vipi sasa,
 
HAHAH haaaa aya bwna...naona anataka kuniacha solemba et we nenda tu kule ahh peke yangu?na leo wknd...akhu babu tutaenda sambamba km mistar ya radi..

Umeona ehee naona alikuwa ana test ili aje aanze bebi kamu front
 
vipi tena nyamaza toto zuri eeeeh?
Forever young!I wanna be!
SINGO AND NOT SEARCHING

:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
 
umeona hiyo sredi mkuu?
watu wamefika bei.........wangejua wanakutana na njemba ina manywele kila sehemu ya mwili, na misuli kama Joseph Kaseba wasingehangaika........hahahahahaaa!

Kibua vipi sasa,

Ha ha ha ha ha ha ha, labda ile unataka nyonyooooooooo ndio wanataka hiyo
 
sababu nyingineeee

tukutane pare pareee..........jani litahusika.
asanteeeeeeeeeeeeee...usisahau na glue mwana asi unajua ile mambo ukizungushia kwa pemben afu ukianza kuinyonya km embe dodo unaweza ukaamini umemnyonga shetan..
 
Nimemfungia kwa nje ya geti...funguo nnazo mie....baby come back....

ati nini?
kwa nini umdanganye mwenzi kwa nin usimwambie ukweli km umepewa adhabu ya kufua naniii upo ndan saizi...
 
ati nini?
kwa nini umdanganye mwenzi kwa nin usimwambie ukweli km umepewa adhabu ya kufua naniii upo ndan saizi...

Umetokea wapi tena luv....rudi ndani basi....me luv u...only u and nanihii...:love::love::love:
 
asanteeeeeeeeeeeeee...usisahau na glue mwana asi unajua ile mambo ukizungushia kwa pemben afu ukianza kuinyonya km embe dodo unaweza ukaamini umemnyonga shetan..
Mi thipo :car::car::car:
 
umeona hiyo sredi mkuu?
watu wamefika bei.........wangejua wanakutana na njemba ina manywele kila sehemu ya mwili, na misuli kama Joseph Kaseba wasingehangaika........hahahahahaaa!

Kibua vipi sasa,

We acha tuu......Kibua ndo nahangaika nacho hapa, je nikutane nacho kwa dinner au supu kesho asubuhi
 
Singo and not searching and mizinga mitatu ya konyagi and jani and then utamu..............

Hii combination lazima ukosee mlango....unaingia gereji na kulala hukohuko...
 
M massage kwa mdomo aridhike mwaya

mmmhh jamini jamaa kasha zoea kupew klorokwin kila siku...
mmmhh huwezi kumnyima kidonge sasa...
mmmhhh kwa kweli mdomo tu au mkono si dhani ka unatosha..
mie naona amwendeshe cowboy style..
hapo yeye hachoki na maji ya minyaa hadi ukutani...mpandie huyu dear...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…