NIMUOKOE NANI.....? nuta jazz

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Ndugu zangu nauliza leo..!! ili nipate kufahamikiwa, nilikuwa mimi na babaaa... mama... mke... na mwanangu......,tuliifanya safariii tukiwa ndani ya ngarawa, katikati ya bahari ngarawa yetu ilizama......
ndungu zangu nifahamisheni NIMUOKOE NANI......., uwezo wangu ni wa mtu mmoja sasa nifanye ninii...?
ushauri wako ni upi maalim Gurumo amuokoe nani kati ya watu wanne aliokuwa nao ktk ngarawa.........?
 
Mbona swali hili lilishajibiwa miaka ileile? Nakumbuka majibu yalikuwa hivi ingawa sikumbuki ni bendi gani walijibu;
" Nafurahi sana kupata nafasi ya kulijibu swali lako ndugu..... Pole sana kwa ajali hiyo ingawa hiyo ni kazi ya Mola.
Kama ni mtoto utapata mwingineee, baba na mama wamekula chumvi nyingi..... Kaza moyo konde muokoe mkeo huyo mtazaa watoto wengi sana......."
 
Sinafungu salama mkuu? Wanasemaje hapo kampuni ya Simu? Ntapita badae kukusalimu kamanda wangu
 
Mbona swali hili lilishajibiwa miaka ileile? Nakumbuka majibu yalikuwa hivi ingawa sikumbuki ni bendi gani walijibu;
" Nafurahi sana kupata nafasi ya kulijibu swali lako ndugu..... Pole sana kwa ajali hiyo ingawa hiyo ni kazi ya Mola.
Kama ni mtoto utapata mwingineee, baba na mama wamekula chumvi nyingi..... Kaza moyo konde muokoe mkeo huyo mtazaa watoto wengi sana......."

Mkuu kwa wake wa kipindi hicho sawa lkn kwa sasa wake zetu hawaeleweki ntanyofoa yeyote kati ya wa3 waliobaki nimuokoe lkn mke namuacha unaweza kumuokoa yeye siku chache mbele anakucheka ujinga na kuolewa na mwingine.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom