Nimueleze mjomba wake?

Pole sana jitahidi ukiwa chumbani kwako tia comeo kabisa jifungie lazma atajishtukia tuu na ukitoka funga na funguo hata kama umekaa nae hapo uani funguo zako tia kwwnye chuchu kabisa
 
Ashakuwa huyo.
muozesheni fasta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada inaonekana ni mpole kupitiliza sana eti
Mume wangu mimi nikiwa na miezi miwili tu kwenye ndoa akawa anakuja na rafiki zake nikiwa sipo wanapika wemyewe wanakula jioni anajua kabisa atarudi nao ila haniambii mapema ili nifanye maemezi mapema kwa ajili yao sasa unakuta nimeshafanya maandalizi mapema share ya watu wawili na mda umeenda anakuja kunitafuta saa nne usiku kwamba kuna watu anakuja nao kwa hivyo niwawekee chakula nikamwambia mume wangu naomba uwe unanipa taarifa mapema maana unanipa wakati mgumu mimj mpishi natakiwa niwe nafanya maandalizi mapema sasa mida hii nafanyje na magenge mtaani kwetu huku washafunga akawa hanielewi akija na wageni wake inabidi mimi nisacrifice nilale njaa kwa ajili yao yeye na wati alioshinda nao mchana kutwa siku ya tano nikaona huu sasa ujinga nilichokifanya nikapika chakula cha watu wawili kama kawaida nikala chsngu chake nikamwachia kwenye hotpot na mboga yake nikamwachia halafu nikaingia kulala kaja kaoga kamaliza kaenda jikoni kuchukua chakula ili akale na wenzie kukuta chakula cha mtu 1 mboga nayo ya mtu mmoja akicheki sebleni yuko na mwenzie akampakulia mwenzie yeye akalala njaa nakuambia hivi kuanzia hapo akaona kumbe aliyokuwa anayafanya yalikuwa yananitesa nikashangaa kesho yake saa nane mchana ananitumia meseji wife utaweka na share ya John na Dani kuna mahali tumekwenda hivyo jioni watapitia hapo kula chakula maana kwa mda tutakaorudi hawataweza kwenda kupika saa tatu wakawa wamesharudi
Point yangu ni hii ukiona hakuelewi kwa mdomo tafuta mbadala utakaomfanya aelewe tofauti yako na yake ukiona ana kuzingua ni heri lawama kuliko hasara
 
Atakuwa msukuma ndo zao hao jamaa
 
Doh mpk utumbo umetetemeka sio kwa kichambo hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…