Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Nadhani fanya hivi.....Natumai wazima wote..
Naomben mawazo yenu hasa wanawake mlioko kwenye ndoa
Mi nipo ndoan miez michache tu nimeolewa baada ya miez 2 akaja mtoto wa wifi yangu naishi nae hapa
Sasa Kuna vitabia anavyo ambavyo kweli kibinadamu vinanikwaza ila navumilia sababu najua tumetoka familia tofauti na tumelelewa malezi tofauti......
Vingi napotezea tu sababu najua may be utoto au
Bint Anamika 25 tabia yake kubwa inayonikera nikuingia chumbani kwangu yeye anachumba chake lkn akiwa nashida anaingia tu haijalishi atanikutaje labda navaa wala hajali binafsi naona kitu Cha ajabu sababu tulivyokua chumba Cha baba na mama Cha kuheshim na tulikua tunaingia kwa emergency, nilimuita nikamwambia ukiwa na shida chumbani niambie au bisha hodi lkn haiajsaidia ...
2) tabia ya pil anafanya vitu anavyotaka yeye mfano akitaka kupika haulizi tunapika Nini anapika anavyojisikia na anavyotaka yeye unakuta hela niliyoachiwa ikiisha naulizwa Mimi nashindwa kumwambia mjomba ake napotezea tu.... Kila siku anakuja na marafiki wapya hata anitambulishi Wala siwajui napishanao tu naweza kutana na mtu jikon au chumbani kwake hata cjui Ni Nan serious nakosa Amani nashindwa nifanyeje
Kibaya mjomba wake anaamini huyu bint yuko parfect 100% hata akikosea anaogopa kumwambia so nashindwa nifanyeje
Hayo yapo sana...mi na upole wangu yakinifika sijui ntachukua hatua gani yarabii ehh!Aggghhh wewe acha tu aggy! Unajua baadhi ya wanawake maskini wapolewapoleee wanaonewa mpaka Sisi wenye mioyo ya huruma tunajiskia vibaya
Acheni upole uliozidiHayo yapo sana...mi na upole wangu yakinifika sijui ntachukua hatua gani yarabii ehh!
Kuna ndugu yangu ye ana ukali mixer ubabe ila ananywea kama muhusika ni mzee au kamzidi tu umri.kuishi na watu kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseee...! Ukimwambia haya maneno live si atakua marehemu fastaHuyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Hivi ni wewe umeandika hapa or somebody hacked your account?Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Tutaacha aisee..ila heshima.Acheni upole uliozidi
Du!!! jaman nimejikuta tu nacheka mwenyewe ha ha ha we nilikua na hasira ila nimechekaHuyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Aisee, is this you?Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Mimi huyu wa kwangu Kila akitoka anarudi na marafiki zake ata 4 hv anakuja hata akutambulishi wanapakua ulichopika wanakula wanaondokaTutaacha aisee..ila heshima.
Tunaogopa kumkwaza..just imagine hali ni mbaya mkazo wa Magu.ye anategemea mshahara wa mume kulipia ada na kila kitu.bajeti ya nyumbani imeshuka..mgeni anankunywa chai na mkate mzima..
Kama tumenunua vitumbua anatusua Tisa au kumi..
Ugali sasa mchana...bado maji ya muoga anaagiza awekewe huku yupo sebleni
Mwingine unataka makange kila siku..hataki ugali..kusahau kwamba katoka kijijni ndizi zipo shamba .huku mjini hela tu
Unataka soda kila siku..ilhali mwenyeji wenyewe hawanywi kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu sana, maana km ni hela inakaa chumbani tena kwenye mkoba na inatoka kwa mahesabu. Sasa inakuwaje mtu anajipikia tu anavyotaka?Huyu mtoa mada nae anaonekana kamzoesha mwenyewe chumba cha mumewe anaingiaje mtu mwengine bila taarifa,kuhusu swala la pesa anajuje inamaana akiachiwa pesa na mumewe ana mkabidhi huyo binti.
Kosa ni lake, kawaida mgeni anapofika kwako kabla ya yote lazima dos and don't.Hapo ni nyumbani kwako si kwake ni lazima akuheshimu. Unakosaje amani kwako? [emoji15]Ongea naye kwa kituo na umueleze yote usiyoyapenda hutaki yaendelee kutokea hawezi afungashe virago haraka sana. Hawezi kufanya anayoyafanya nyumbani kwako. GANGAMARA!!
Usikute ht huyo ni mchepuko kwa jina la mtoto wa wifi[emoji12] [emoji12]Sasa kama dogo tu wa 25 anakunyosha namna hyo ukiletewa mchepuko utaweza kwel?
Mi nitamfukuzaje yupo kwa mjomba wake?Fukuza
mpuuzi mpuuzi tu