Nimueleweje na nifanyaje?

Uhusiano haujafika mwaka Bado. Ndio tumeshawahi kuonana . Ila mambo Fulani Bado hatujawahi hata siku moja . Siko tayari kwa hili na tulikubaliana mpaka harusi. Asante.

Utampata wapi mwanaume wa hivyo karne hii.? Karne hii ukiamua kuingia katika mahusiano na pichu uamue kuvua..!
 
Uhusiano haujafika mwaka Bado. Ndio tumeshawahi kuonana . Ila mambo Fulani Bado hatujawahi hata siku moja . Siko tayari kwa hili na tulikubaliana mpaka harusi. Asante.

Utampata wapi mwanaume wa hivyo karne hii.? Karne hii ukiamua kuingia katika mahusiano na pichu uwe tayari kuvua..!
 
Ajabu sasa partners wengi hawawezi kuambiana ukweli. Na ikitokea ukamwambia mtu kuwa uhusiano wenu hauna future, utatukanwa matusi yote duniani...! Lakini kuambiwa ukweli kunakuacha huru..!

Hakuna kitu ninachokipenda ingawaje kinauma kama ukweli na hilo analielewa hilo jamaa yangu . Ni bora uniambie ukweli mwanzo utaniuma lakini utaniset free . Asante sana .
 
pole mdada, m mwenyew yalishanikuta, tulikaa mwezi mmoja akakata mawasiliano hapokei sim wala hajibu txt ila uki2mia no nyngine anapokea, bahat nzur nilkua napajua kwake, nkamfata nikamuliza akanambia yuko busy ndo mana, nikaachana nae ila mpaka leo cjui sababu ya ukimya wake......

nakushauri achana nae asikupe stress.... shukur mungu umemjua alvyo mapema
 
Asante mdada wangu.
 
Kama unajua pamkupata huko tz,rudi tu dadaangu kamwangalie na ujue nini kimetokea. Vinginevyo hata ukisema umpotezee utakuwa unajiumiza tu maana mapenzi maumivu yake ni yakipekee sana bcz yanaumiza hisia tu.
 
mapenzi kwa simu, email, fb, twitter, instagram, whatsapp........mapenzi is physical.....kazidiwa analiwazwa mahali. Akishadiffuse utampata tu. relax!!!
 
mapenzi kwa simu, email, fb, twitter, instagram, whatsapp........mapenzi is physical.....kazidiwa analiwazwa mahali. Akishadiffuse utampata tu. relax!!!

Aaaaaaaaaaaahhaaaa kazi Kweli Kweli. Asimalize vyote Basi mpaka akanishindwa kwenye honeymoon yetu, Aaaaa Aaaaaaaa Aaaaaaaahaaa loh umeniuwa kwa kucheka, Asante sana kwa ushauri.
 
Kama unajua pamkupata huko tz,rudi tu dadaangu kamwangalie na ujue nini kimetokea. Vinginevyo hata ukisema umpotezee utakuwa unajiumiza tu maana mapenzi maumivu yake ni yakipekee sana bcz yanaumiza hisia tu.

Ni Kweli. Natizama alternative ways my dear . All I want him to be happy and myself too. Hata kama akisema ameona awe na MTU mwingine pia ni sawa kwangu as long as yuko happy. Na Mimi ninaamini wangu atakuja tuu , siku moja . Asante sana.
 
Isije ikawa wewe ni selfish kwenye mahusiano yenu?

Umepewa likes 22 lakini hujatoa hata moja kwa members!

Kuwa makini!
 
Isije ikawa wewe ni selfish kwenye mahusiano yenu?

Umepewa likes 22 lakini hujatoa hata moja kwa members!

Kuwa makini!

Sokoni sehemu hiyo hebu nielekeze . Mimi ni mgeni hata hizo likes zangu pia sizioni . msaada please. Asante!
 
Kama kweli uliyoandika ni sawa,basi jua kabisa kuna kitu kimefichika ndani ya moyo wa dear wako na hajapenda kukwambia ukweli,which is dangerous kwa hilo penzi lenu changa.Pengine kuna kitu amekigundua kwako asichokipenda,ama amempata mwingi na kuamua kukusaliti ama.......!Yote katika yote,inaonyesha hana nia nzuri na wewe,lakini kumbuka always kunyamanza is the best answer,usiwe wa kwanza kutoa tamko,we tulia tu,utauona mwisho wake kwani njia ya mwongo ni fupi.
Mwisho nakupongeza kwa msimamo wako mzuri,continue.
 
Aaaaaaaaaaaahhaaaa kazi Kweli Kweli. Asimalize vyote Basi mpaka akanishindwa kwenye honeymoon yetu, Aaaaa Aaaaaaaa Aaaaaaaahaaa loh umeniuwa kwa kucheka, Asante sana kwa ushauri.

mtumie message za mapenzi na umpe pole kwa kazi ngumu anayoifanya hata amekusahau kwa muda....utaona anarespond tu.....wanaume ndivyo tulivyo...LoL!!
 
Asante sana!
 
Sokoni sehemu hiyo hebu nielekeze . Mimi ni mgeni hata hizo likes zangu pia sizioni . msaada please. Asante!

Ni hakika huwezi kuanzisha thread bila ku-sign in,sasa ukiangalia kwenye kila comment ama uzi ulioanzishwa chini upande wa kulia kuna sehemu ya like,ukibofya hicho kitufe maana yake ume like hiyo comment/thread.Kumbuka mambo mengine ni madogo madogo lakini yana impact ktk jamii,usiyapuuze.
Wewe mwenyewe ukiangalia umepewa like 22 hadi sasa,lakini wewe umetoa 0 like???Inawezeka mchango wa By Prince Hope unaukweli fulani,jitahidi.
 
mtumie message za mapenzi na umpe pole kwa kazi ngumu anayoifanya hata amekusahau kwa muda....utaona anarespond tu.....wanaume ndivyo tulivyo...LoL!!

Aaaaaaaa Aaaaaaaahaaa , my dear I did all that kabla sijaja hapa, still hujibu. I even told him I love him and so many things, Lol . Kwa sasa nakaa kimya nisubiri. Na Mara ya mwisho tulivyoongea wote tulikuwa happy, nakumbuka tulichekeshana sana that day . So I don't know. Asante !
 
Nimejaribu kutafuta hiko kitufe Hata sikioni . Sijui ni macho yangu au. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…