missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,337
we ni mpango wa kando ...subiri jamaaa yake akisafiri ndiyo uende
Asante..
we ni mpango wa kando ...subiri jamaaa yake akisafiri ndiyo uende
Hii laki mbili ya Zimbabwe au ?
nyie masista duu mnajionaje kwani?
mnajiona mna thamani ya samsung s2 au sio ??
tena sanaHuu ndio ukweli, kama vipi ampotezee mbna vtumbua vipo vng tu
Your game is so wack bro, change tactics.
No no no kinachoshangaa ni kinachomtoa Shinyanga to Tanga...!!!! Is it really worth it!?????????
mmh kumbe kimejificha....
Hii laki mbili ya Zimbabwe au ?
nyie masista duu mnajionaje kwani?
mnajiona mna thamani ya samsung s2 au sio ??
kifupi ni kwamba huyo lady hayupo Tanga, na siku alipokwambia amefika tanga alikudanganya.. hiyo mizinguo haiishi mpaka siku atakayokuomba umtumie hela, kama huamini we nenda tanga halafu umwambie umefika uone atakavyoanza kutunga uongo mwingine ili tu msionane ... siku chache zijazo atakuomba pesa na huo ndio utakuwa mwisho wa mchezo
Hakuna ukweli hapo,huwezi yeye alipoanza safari ya kuja Tanga,alitoa kisingizio ili msionane,amekuchagiza umeanza kwenda napo katoa kisingizio usiende! shtuka anakuzingua,kazi gani anafanya awe busy usiku na mchana! amekufanya -----,subiri akupige Mzinga wa hela ukimpa Mawasiliano yatakufa!