GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Niwape story wananguuuu,,,,,
Nakumbuka nikuwa naishi tanga kwa muda nikipiga mzigoo,natoka asubuhi na usafiri wangu wa maringi mawili narudi jioni au usiku saa moja mbili hadi 8,kila siku mie ndio mbio zangu,sasa kulikuwa na njia sehemu hiyo ndio kila siku napita,kwa bahati nzuri aliletwa mtu mpya kazini kwa work experiance kazini kwangu,si unajua sura za kipemba zinafanana,aliekuja ni mtoto wa bso wangu tumefana sana sikutarajia.
Basi yule kija sijui alifikia wapi nikawambia njoo kwangu tukae wote kama upo kwa muda,tukawa wote asubuhi tunatoka jioni tunarudi,siku moja narudi kazini usiku nakuta msg kuwa nipige hiyo number kuna wanamke ananitafuta,nikashtuka, daaaaaah nimeuwa au nimetenda nini mimi,nikapuuza,siku ya pili tena nakuta ujumbee..
mi sikufatilia tena naendela na yangu,siku ya tatu nimepokea barua kunapicha na barua maelezo mengi ya mapenzi,sijui ananipenda na mengi zaidi,lakini barua imeandikwa jina la rafiki yangu ambaye tunaishi wote. alijichanganya,rafiki yangu akawa anaisukumizia mie mzigo,basi nikasema ngo basi asitusumbue huyu.
Mie nilichofanya ni kumuulizia,nikakutana na mtoto mmoja wa matanii kwangu mnyamwezi,wa kujinata,, hehehe nikamuuliza huyu mtu unamjua kanipa direction anayokaa demu,kumbe nikienda kazini napita kwao hapo huniangaliaa.
sasa siku moja nikapita usiku nikaita fulaniii kaitikia naaam nikasema njooo,hapo kwao kulikuwa na miti miti ikisha taa ya njee imezimwa kizaa,basi akaja akaniambia ooh baba yupoo baadae,,ah na mimi nikapuuza
Siku zikienda nasumbuliwa kila siku,basi kuna siku nikaamzukia tena wanaguu,nikamuona njee kwao mchana nikamwita njoo tuongee,basi akaja anaanza kualla mika oh mie nakupenda sana sijui hivi,sasa nikawa najiuliza madhumuni ya barua ni nani alimletea au tunamchanganya sura zetu,lakini poa haya tunaongea.
Kilichojiri mimi nikamuambia dada ombi nitakukubalia pindi ukifata masharti yangu,sawa,nikamwambia mimi hunijui unaniona tu,akasema ndio,nikamuambia mimi nimetembea na madada wengi sana,ivyo unavyonipenda wewe na ho walikuwa kama hivyoo,sasa cha kufanya kukuonea huruma bora mie nikapime HIV kwanza lakini nahisi tuende wote,ili tujue afya zetu then tuendelee na uhusiano huu,au unasemaje.
Akaniambia yeye hawezi,dah kwanini anasema yeye anaogopa hawezi,nikamuambia kama ni hivyo basi ,kuotkana mimi nakuonea huruma wewe nisije kuwa mie muathirika nikakumaliza wewe,bora twende wote tukashudie kachomoaa.
Sasa ndugu zangu watanzania wenzangu huyu demu alikusudia nini ? Kwa nini aliogopa kuenda kupima HIV ? AU LITAKA KUNIMALIZA KWA MAKUSUDI ? nimueke kundi gani mwanamke wa aina hiii..