Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Sikitiko,..mguno au mshangao?
Sikitiko,..mguno au mshangao?
Aiseee ...mti wa matunda kukatwa na kufanywa mbao...Nakukumbusha: Usibakize mti mmoja wa matunda maana kuna wengine watapita na kuona huo mti unafaa kwa mbao na wataukata.
Nimefanikiwa kuamini, kifuatacho....
binadamu wabaya wanakwambia cha mtu maviAiseee ...mti wa matunda kukatwa na kufanywa mbao...
sikitiko gani kwa sauti bashasha hivyoSikitiko,..
...tusherehekee😉Nimefanikiwa kuamini, kifuatacho....
We hujui sikitiko la mahaba lashinda msiba?!sikitiko gani kwa sauti bashasha hivyo
Mkuu kwa jinsi huyo D wako alivyokupenda na kujinyenyekeza na kuwa na matumaini makubwa ya wewe kumwoa na kuanzisha familia yenu nk nk halafu uje umwache simply because she's not as intelligent as M,her beauty is not as good as that of M?
Halafu huyo M umesema ni mcha Mungu na hajui kuwa uko na D,sasa whenever you break up relationship with D mkuu ujiandae kwa msiba na hapohapo ujue M atajua na atajua kwamba wewe ulimfanya yeye awe sababu ya kifo cha D hivyo hatoona sababu ya kuendelea kuishi na wewe.
Na utakapo wapoteza hao wawili kwa style tofauti mzimu wa D utakutesa maisha yako yoteee na hautabaki salama.
Chakufanya hapo ni kumwacha M kwakuwa amemkuta D na hili litayaokoa maisha ya D na ya kwako pia.
Wanaume sometimes tuwe na huruma jamani.
Na kuitunza imani yangu pia teh teh....tusherehekee😉
Ooohh-yeeeah ntakutunzia imani yako,.Na kuitunza imani yangu pia teh teh.
Kwakuwa kalileta jamvini kupatiwa ushauri ni imani yangu ataacha na M na kuambatana na D.Umemshauri vzr lakin sidhani kama moyo wake utakubali
teh teh teh kweli hayo ni mahabaWe hujui sikitiko la mahaba lashinda msiba?!
teh teh teh kweli hayo ni mahabaWe hujui sikitiko la mahaba lashinda msiba?!
.....sounds good,power to you.Ooohh-yeeeah ntakutunzia imani yako,.