Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Hizo D&M nimetoka kapa kama X&Y
Hahhahha mkuu umesema kweli,omba uendelee kutoa ushauri na si vinginevyo.Yaaani haya mambo yananoga uyasikie tuu kwenye mitandao kama hivi watu wakiomba ushauri,.lakini yasikukute,.
Kwa umri huu babu,.bila shaka yamenikuta iwe kwa kujua ama kwa kutokujua,.😅Wewe yalishakukuta au uliyasikia kwa watu?
Hatari sana haya mambo mkuu,.😁Hahhahha mkuu umesema kweli,omba uendelee kutoa ushauri na si vinginevyo.
Kwahiyo ulivonambia we bado bikira ulikuwa unaniongopea?Kwa umri huu babu,.bila shaka yamenikuta iwe kwa kujua ama kwa kutokujua,.😅
Me bado bikira babuu,..umri kati ya 25-28...Kwahiyo ulivonambia we bado bikira ulikuwa unaniongopea?
Haya ... una umri gani kwani?
MmhMe bado bikira babuu,..umri kati ya 25-28...
Ukilikoroga unatakiwa uwe smart enough kulinywa vinginevyo majanga.Hatari sana haya mambo mkuu,.😁
Huamini??😃
Kati ya 25 na 28... ina maana una miaka 26 au 27... hicho kitumbua chako bado kitakuwa tight. Kitunze kisijeliwa na waroho.Me bado bikira babuu,..umri kati ya 25-28...
😂😂😂😂oh yeah babu...Kati ya 25 na 28... ina maana una miaka 26 au 27... hicho kitumbua chako bado kitakuwa tight. Kitunze kisijeliwa na waroho.
Najitahidi but I'm about to believe.Huamini??😃
😊😊Najitahidi but I'm about to believe.
mguno au mshangao?Aiseee,.
pia ataanza kumpenda DUkishamuacha D tu utaanza kuona true colours za M