nimtoe nani,nimuache nani jamani?

nimtoe nani,nimuache nani jamani?

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
nilikua nakaa na mdogo wangu chumba ki1,nilivooa ikabidi dogo aondoke,sasa huyo dogo akajakunitembelea siku moja nikiwa na wife.tukiwa tumekaa pale chumbani ,wife,mimi na dogo,nikawa nataka kubadilisha nguo,ningemtoa nani nje ili nibadilishe nguo jamani....changia alafu nitakwambia nilichofanya:eyebrows:
 
Unamwambia dogo! nisubiri nje hapo niongee na shemeji yako mara moja
 
unamtoa dogo kisanii kama vipi muagize dukani kitu ambacho atasumbuka kukipata akirudi tayari umeshamaliza
 
sio lazima atoke mtu...kwani unabdilishaje nguo?
 
Ukimtoa waif lazima ahisi wewe Bwabwa, na atakuwa sahihi..
 
Back
Top Bottom