Nimtafune?

Naonaunatafuta sababu ya kwenda kuandija kwenye ule uzi wa waliokula kimasihara
 
Dogo acha U-SNITCH mjinga wewe. Unashindwa nini kutafuta demu wako mpk ule demu wa room mate wako? Ukimtafuna huyo demu na wewe unachanwa marinda maana atakuwekea hata dawa za usingizi si mnakaa ghetto moja. Maumivu ya kuchapiwa ni mabaya sana mtu anaweza kukufanya lolote
 
first year

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimtafuna?
 
Kua na mipaka katika maisha yako mkuu na utafanikiwa sana.
 
Huna uwezo bado unasoma alaf unataka uonyeshe ww kidume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo dem mwenyewe hana akili maana watu wanaoshare chumba bado ni watoto Sasa kama kashindwa kufikishwa na mtoto wa kwanza je mtoto ww una lolote. Ww ukitaka kuenjo life jaribu kuish mwenyewe
 
Andaa 'mchonyo', wako kuliwa maana una tamaa.
 

Binadamu wa aina hii ndio husababisha watu waende Jela...Umbwa kabisa!
 
Wafukua makaburi, huyu mwamba si ndo wa "upinde" 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…