Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 752
Kivipi yaani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukimla ndo gia ya wewe kutoka hapo maana huyo mwanamke anataka aishi na jamaa hapo.
Hii ni page 1Sasa kanielezea mambo yake ya ndani inamaana anahitaji solution...sasa nikimwacha ataniona na mimi sina kitu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sidhani kama jamaa yako hajui kwamba sharing is caring
Mtafune lakini mbakizie jamaa
Hizi za kuambiwa! Sasa changanya na za kwako mkuu.Kweli eeenh maana nikimwacha demu ataniona boya
Sent from my iPhone using JamiiForums
We jamaa anakuridhisha? Umesema mnaishi wawili chumba kimoja!
Sasa huyu anataka kumvua chupi demu wa mchizi wake na tayar kishajionesha yeye ni fundi unazani c atalamba maji ya shurubat ya mwenzake? Huyu ni Snitch na huyo demu piaSasa kuishi chumba kimoja ndo nn? Mbona wanafunzi wengi tu wanaishi chumba kimoja na maisha yanasonga ubaya wewe unawaza mambo ya homo
Sent from my iPhone using JamiiForums