Nimsaidieje huyu denti wa chuo??

Nimsaidieje huyu denti wa chuo??

Top Thinker

Senior Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
183
Reaction score
125
Ni saa 4 usiku nipo maeneo ya geto kwangu hapa, sasa naishi na jirani yangu ambae aling'oa dogo mmoja wa mwaka wa kwanza udsm, dogo kaja bila taarifa kuspend weekend kwa mchizi, mchizi kafunga mlango wake na geti kabisa, dogo muda mrefu sana anagonga na kupiga simu, na jamaa namjua kwa misimamo hivyo najua hatamfungilia, yani dogo hadi namwonea huruma as ni zaidi ya lisaa limoja tangu saa tatu mpaka muda huu naandika post hii bado anasubiri jamaa amfungulie, mi nasikiliza zangu music na namwona kwa dirishani jinsi dogo anavyotaabika mlangoni kwa mchizi.

Nimsaidieje huyu dem, maana najua jamaa hatafungua, na huku kuna kaumbali, na unaweza kuta hata nauli ya kurudi hostel hana.

Watoto wa chuo mkome kupapatikia watu na kwenda kwa masela kwa kustukiza, yatakukuta.
 
mbona simple tu, jifanye kama unaenda kununua vocha dukani...akikuuliza jamaa yupo wapi, mwambie hudhani kama yupo ndani.
Akishajua jamaa yake hayupo ataondoka, kwa namna gani atajua ye.mwenyewe usijemgegeda binti wa watu.
 
Kama una namba ya huyo demu nipe mimi nije kumchukua. Nina bodaboda sasa hivi ndo nataka kuirudisha kwa tajiri.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hako ni kupita nacho tu, hauna haja ya kuumiza kichwa, toka nje kamata mzigo vitia ndani kesho akija anapitia kwako moja kwa moja...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
I hope ulimuweka kwenye maombi Mungu amuepushe na uzinzi wa siku ya jana.
 
Hako ni kupita nacho tu, hauna haja ya kuumiza kichwa, toka nje kamata mzigo vitia ndani kesho akija anapitia kwako moja kwa moja...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ubakaji huo
 
mmmh..sidhani kama mambo yao yanakuhusu. Ungefunga pazia nakuendelea na shughuli zako..
 
enhee ilikuaje sasa...ULIM'BONDA?@Top Thinker
 
maisha hayo ndugu lakin kama angekuwa yuko vizuri asingepoteza muda wake kuja hapo
 
Bila shaka huyo jamaa alikua na mtu mwingine ndani.....
Kwani mpenzi wake kuja geto hadi aombe ruhusa au atoe taarifa?
Ndo shida ya kupenda viserengeti tena visivojitambua.....!!!!!!
 
Shida ya kuendekeza libeneke na watoto ndo hiyo anataka kukukuta unafanya ili aseme amekufumania hajui tofauti ya kukuta na kufumania huyo
 
Ubakaji huo

Ubakaji unamazingira mengi. Inawezekana ukawa ubakaji.
Demu @ Denti wa Chuo yupo nje ya nyumba majira ya saa nne usiku.
Amesubiri qa takribani saa moja: Hivyo hana ujanja wa kurudi skonga.
Qa kuwa anashida akiimbishwa kidogo tu atatoa mzigo ugegedwe.
Huo ni ubakaji qa kutumia shida za mwenzako qa faida yako.​
Lakini Binti.com kumbuka tuko katika SERA ZA KIBEPARI.
Kila mtu anaangalia maslahi yake mwenyewe;
Huku akitumia shida na matatizo ya BinAdam mwenzake kupata mahitaji yake.

Ni qeli huo ni UBAKAJI.​
Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom