Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 247
- 229
Mkamatishe polisi,hilo ni kosa kisheraIpo hivi nlikuaga penzin na demu flani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada yakustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kua friend na Salam fupifupi lkn kuanzia mwez November mwaka Jana akawa anazidisha mawasiliano na kuomba turudie game nlimhoji vp kipindi ambacho hatukua p1 hukua na mtu?akanijibu alikua nae lkn wameachana so aliendelea kuomba tukumbushie mechi nkawa namzugazuga sasa twende kwenye mada wiki iliopita akanitext akanambia naomba unisamehe kwa ntakayokueleza nkamuambia usijali ongea tu,akanambia amebeba ujauzito wa jamaa aliekuwaga nae alafu jamaa katimka na simu hapokei na yeye hali yake ni ngumu hata pesa ya kula inamshinda hivyo ameomba nimsaidie kutoa mimba
Naombeni ushauri wenu nimsaidie au nikaushe
Kausha.Ipo hivi nlikuaga penzin na demu flani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada yakustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kua friend na Salam fupifupi lkn kuanzia mwez November mwaka Jana akawa anazidisha mawasiliano na kuomba turudie game nlimhoji vp kipindi ambacho hatukua p1 hukua na mtu?akanijibu alikua nae lkn wameachana so aliendelea kuomba tukumbushie mechi nkawa namzugazuga sasa twende kwenye mada wiki iliopita akanitext akanambia naomba unisamehe kwa ntakayokueleza nkamuambia usijali ongea tu,akanambia amebeba ujauzito wa jamaa aliekuwaga nae alafu jamaa katimka na simu hapokei na yeye hali yake ni ngumu hata pesa ya kula inamshinda hivyo ameomba nimsaidie kutoa mimba
Naombeni ushauri wenu nimsaidie au nikaushe
Ndiyo yuanaitakaHuenda hata mimba hana anatafuta pesa.
kwanza usikubali na kwanini akimbilie kwako na sio kwa jamaa japo najua kuna vitu ana kuficha cha msingi we mwambie kuwa alele mimba asijali kuhusu mtoto. maana kama alikuwa anaku force mrudie ligii ina maana alitaka akubambikie maana sio poa. sema na wewe uka shtuka ukawa unaenda nae taratibuIpo hivi nlikuaga penzin na demu flani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada yakustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kua friend na Salam fupifupi lkn kuanzia mwez November mwaka Jana akawa anazidisha mawasiliano na kuomba turudie game nlimhoji vp kipindi ambacho hatukua p1 hukua na mtu?akanijibu alikua nae lkn wameachana so aliendelea kuomba tukumbushie mechi nkawa namzugazuga sasa twende kwenye mada wiki iliopita akanitext akanambia naomba unisamehe kwa ntakayokueleza nkamuambia usijali ongea tu,akanambia amebeba ujauzito wa jamaa aliekuwaga nae alafu jamaa katimka na simu hapokei na yeye hali yake ni ngumu hata pesa ya kula inamshinda hivyo ameomba nimsaidie kutoa mimba
Naombeni ushauri wenu nimsaidie au nikaushe
KabisaHuenda hata mimba hana anatafuta pesa.
Naunga Mkono Hojakwanza usikubali na kwanini akimbilie kwako na sio kwa jamaa japo najua kuna vitu ana kuficha cha msingi we mwambie kuwa alele mimba asijali kuhusu mtoto. maana kama alikuwa anaku force mrudie ligii ina maana alitaka akubambikie maana sio poa. sema na wewe uka shtuka ukawa unaenda nae taratibu
KAUSHA.Ipo hivi nlikuaga penzin na demu flani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada yakustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kua friend na Salam fupifupi lkn kuanzia mwez November mwaka Jana akawa anazidisha mawasiliano na kuomba turudie game nlimhoji vp kipindi ambacho hatukua p1 hukua na mtu?akanijibu alikua nae lkn wameachana so aliendelea kuomba tukumbushie mechi nkawa namzugazuga sasa twende kwenye mada wiki iliopita akanitext akanambia naomba unisamehe kwa ntakayokueleza nkamuambia usijali ongea tu,akanambia amebeba ujauzito wa jamaa aliekuwaga nae alafu jamaa katimka na simu hapokei na yeye hali yake ni ngumu hata pesa ya kula inamshinda hivyo ameomba nimsaidie kutoa mimba
Naombeni ushauri wenu nimsaidie au nikaushe