Njia ipi nitumie "kumnasa" huyu mtoto wa kibosile? Nimtie mimba au "nimteke"?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,564
50,400
Asalaaam wanaJF.
Naombeni mawazo yenu ktk hili. Nimetokea kumpenda mtoto wa kibopa a.k.a kibosile fulani hapa mjini, lkn tatizo imekuwa ngumu kumuoa. Kwasabb wazazi wake wanataka aendelee na masomo ya uzamili baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza mwaka Jana.

Hivyo wazazi wa binti huyo hawataki kusikia kitu kinaitwa uchumba au posa kwa sasa. Mm niko tayari kuishi naye na binti anaonyesha yuko tayari kuishi nami. Imefika hatua tumepanga mkakati kwamba nimdunge mimba lkn utekelezaji wa mkakati huu unakumbwa na vikwazo viwili: -

Kimojawapo ni timing ya danger days. Siku muhimu unakuta anapewa majukumu ya kusafiri ama kufanya kazi fulani.

Kikwazo kingine ni uwoga wa binti pamoja na mm mwenyewe kwa kibosile huyo. Watu wenye hela hawaoni tabu kukunyooshea pyupyu! Na kibosile huyu ashatoa ahadi mara kibao kwa binti yake kwamba akifanya ujinga atamtambua.

Na juzi juzi wamemuweka chini binti wakimtaka aanze kufikiria kuomba nafasi vyuo vya nje akasome.

Sasa wanaJF, mm Kangomba ninaumiza kichwa kwamba nifanyeje ili nijimilikisha penzi la binti kibosile? Binti akija nimteke asirudi kwao? Au nivizie vizie kumtia mimba kizari zari hivo hivo ?
 
Mwache tu akasome, naona hata humpendi nikwasababu tu binti kibosile, angekuwa maskin ungemtakaa?
 
Asalaaam wanaJF.
Naombeni mawazo yenu ktk hili. Nimetokea kumpenda mtoto wa kibopa a.k.a kibosile fulani hapa mjini, lkn tatizo imekuwa ngumu kumuoa. Kwasabb wazazi wake wanataka aendelee na masomo ya uzamili baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza mwaka Jana.

Hivyo wazazi wa binti huyo hawataki kusikia kitu kinaitwa uchumba au posa kwa sasa. Mm niko tayari naye na binti anaonyesha yuko tayari kuishi nami. Imefika hatua tumepanga mkakati kwamba nimdunge mimba lkn utekelezaji wa mkakati huu unakumbwa na vikwazo viwili: -

Kimojawapo ni timing ya danger days. Siku muhimu unakuta anapewa majukumu ya kusafiri ama kufanya kazi fulani.

Kikwazo kingine ni uwoga wa binti pamoja na mm mwenyewe kwa kibosile huyo. Watu wenye hela hawaoni tabu kukunyooshea pyupyu! Na kibosile huyu ashatoa ahadi mara kibao kwa binti yake kwamba akifanya ujinga atamtambua.

Na juzi juzi wamemuweka chini binti wakimtaka aanze kufikiria kuomba nafasi vyuo vya nje akasome.

Sasa wanaJF, mm Kangomba ninaumiza kichwa kwamba nifanyeje ili nijimilikisha penzi la binti kibosile? Binti akija nimteke asirudi kwao? Au nivizie vizie kumtia mimba kizari zari hivo hivo ?
Tafuta hela halafu kasome acha kuwaza matatizo nawewe ni mdogo ndoa ipo na itakuwepo nakama ni nyota yako itakuwa.
Mara ingine mtu anajitesa kisa hakuna tulishapenda tulishapendwa end of the day watu hawakuwa nyota yetu if nyota ni yako itakuangukia wewe katafute life mkono mtupu haulambwi hata hela za misimu sio pesa
 
Ukisha mteka unamhamishia sayari nyingine? Au utabaki sayari hii ambayo kibosile anaweza akakpata na akakupyupyu
 
Una haraka gani mkuu si umuache asome kwanza. Akishahama kwao akawa na maisha yake wala haita kuwa ngumu.
 
Asalaaam wanaJF.
Naombeni mawazo yenu ktk hili. Nimetokea kumpenda mtoto wa kibopa a.k.a kibosile fulani hapa mjini, lkn tatizo imekuwa ngumu kumuoa. Kwasabb wazazi wake wanataka aendelee na masomo ya uzamili baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza mwaka Jana.

Hivyo wazazi wa binti huyo hawataki kusikia kitu kinaitwa uchumba au posa kwa sasa. Mm niko tayari kuishi naye na binti anaonyesha yuko tayari kuishi nami. Imefika hatua tumepanga mkakati kwamba nimdunge mimba lkn utekelezaji wa mkakati huu unakumbwa na vikwazo viwili: -

Kimojawapo ni timing ya danger days. Siku muhimu unakuta anapewa majukumu ya kusafiri ama kufanya kazi fulani.

Kikwazo kingine ni uwoga wa binti pamoja na mm mwenyewe kwa kibosile huyo. Watu wenye hela hawaoni tabu kukunyooshea pyupyu! Na kibosile huyu ashatoa ahadi mara kibao kwa binti yake kwamba akifanya ujinga atamtambua.

Na juzi juzi wamemuweka chini binti wakimtaka aanze kufikiria kuomba nafasi vyuo vya nje akasome.

Sasa wanaJF, mm Kangomba ninaumiza kichwa kwamba nifanyeje ili nijimilikisha penzi la binti kibosile? Binti akija nimteke asirudi kwao? Au nivizie vizie kumtia mimba kizari zari hivo hivo ?
Juzi tu ulisema hutaki "KUOLEWA NA MWANAUME AMBAE HASAFIRI MARA KWA MARA"
una jinsia ngapi???
 
Wanaume wa kinondoni hawana uwezo wa kumtia kiumbe yeyote mimba,wewe pambana na hali yako
Asalaaam wanaJF.
Naombeni mawazo yenu ktk hili. Nimetokea kumpenda mtoto wa kibopa a.k.a kibosile fulani hapa mjini, lkn tatizo imekuwa ngumu kumuoa. Kwasabb wazazi wake wanataka aendelee na masomo ya uzamili baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza mwaka Jana.

Hivyo wazazi wa binti huyo hawataki kusikia kitu kinaitwa uchumba au posa kwa sasa. Mm niko tayari kuishi naye na binti anaonyesha yuko tayari kuishi nami. Imefika hatua tumepanga mkakati kwamba nimdunge mimba lkn utekelezaji wa mkakati huu unakumbwa na vikwazo viwili: -

Kimojawapo ni timing ya danger days. Siku muhimu unakuta anapewa majukumu ya kusafiri ama kufanya kazi fulani.

Kikwazo kingine ni uwoga wa binti pamoja na mm mwenyewe kwa kibosile huyo. Watu wenye hela hawaoni tabu kukunyooshea pyupyu! Na kibosile huyu ashatoa ahadi mara kibao kwa binti yake kwamba akifanya ujinga atamtambua.

Na juzi juzi wamemuweka chini binti wakimtaka aanze kufikiria kuomba nafasi vyuo vya nje akasome.

Sasa wanaJF, mm Kangomba ninaumiza kichwa kwamba nifanyeje ili nijimilikisha penzi la binti kibosile? Binti akija nimteke asirudi kwao? Au nivizie vizie kumtia mimba kizari zari hivo hivo ?
 
Una haraka gani mkuu si umuache asome kwanza. Akishahama kwao akawa na maisha yake wala haita kuwa ngumu.
Mkuu naishi kwa malengo. Nataka nipate watoto mapema niwalee na kuwasomesha nikiwa bado nina nguvu
 
Asalaaam wanaJF.
Naombeni mawazo yenu ktk hili. Nimetokea kumpenda mtoto wa kibopa a.k.a kibosile fulani hapa mjini, lkn tatizo imekuwa ngumu kumuoa. Kwasabb wazazi wake wanataka aendelee na masomo ya uzamili baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza mwaka Jana.

Hivyo wazazi wa binti huyo hawataki kusikia kitu kinaitwa uchumba au posa kwa sasa. Mm niko tayari kuishi naye na binti anaonyesha yuko tayari kuishi nami. Imefika hatua tumepanga mkakati kwamba nimdunge mimba lkn utekelezaji wa mkakati huu unakumbwa na vikwazo viwili: -

Kimojawapo ni timing ya danger days. Siku muhimu unakuta anapewa majukumu ya kusafiri ama kufanya kazi fulani.

Kikwazo kingine ni uwoga wa binti pamoja na mm mwenyewe kwa kibosile huyo. Watu wenye hela hawaoni tabu kukunyooshea pyupyu! Na kibosile huyu ashatoa ahadi mara kibao kwa binti yake kwamba akifanya ujinga atamtambua.

Na juzi juzi wamemuweka chini binti wakimtaka aanze kufikiria kuomba nafasi vyuo vya nje akasome.

Sasa wanaJF, mm Kangomba ninaumiza kichwa kwamba nifanyeje ili nijimilikisha penzi la binti kibosile? Binti akija nimteke asirudi kwao? Au nivizie vizie kumtia mimba kizari zari hivo hivo ?
Duuh we kweli sexless maana leo umekuja kama mwanaume kesho utakuja kama mwanamke lakini sisi tuchangie tu mada jinsia yako haituhusu si eti mwaya?
 
Kama demu hakupemdi hata hiyo mimba yenyewe haitongia, na kama anakupenda kweli (ambapo sidhani kama ni kweli vinginevyo wala usingekuja hapa kuomba ushauri) angekuwa na wewe, hivyo acha kujidanganya!
 
Back
Top Bottom