Ngoja waje mie naogopa ya anastazia.
...mama kwakuwa ulimkaribisha kwa heshima ya dada yake haraka sana muwekee mipaka bila aibu kwa heshima ya dada yake vinginevyo ndo unaharibu. Watanzania tujifunze kusema yaliyoni kwa uwazi,sio unakufa na tai shingoni...
Ndio tatizo letu watanzania kitu kinakukera unaishia kulalama baadala ya kufanya juhudi kumueleza muhusika unavyokerekwa na tabia zake!

Watu wengine wanajifanya hawajui ustaarabu..They take too much advantage of chances they get ..na wewe umepatikana kwasababu unaona utaonekana mbaya ukimwambia mkweli sometimes we have to be selfish and think about ourselves and our needs...Na suluhisho ni kumwambia ukweli tu kwamba sasa anajitegemea kwahio akija kwako mpaka kwa miadi na makubaliano...Hapo mwenzako anakucheka tu jinsi anavyokufanya kitega uchumi...:eyeroll1:kiukweli nilipata kigugumizi kwani sina asili ya uchoyo nikajua akipata chumba yataisha. Na huo mwezi alokaa kwangu hakuna bajeti ilokubali yaani mchele, sukari, unga vyote vilikata kabla mwezi haujaisha. NiKabaki naisubiri kwa hamu siku ya kuondoka kwake. Kwa sasa itabidi nivae uso wa mbuzi. Nahisi hata alivochukua nyumba ya hapa jirani ni ili aendelee kukaa karibu naa kwangu kashaniona mpole sana
Ongea na dada yake kama unaogopa kumwambia wewe mwenyewe. Ila dada samahani kama nitakukosea naomba tu kukuuliza swali dogo je wewe unakatabia ka uchoyo?
mwambie ukweli haina maana kukaa kimya na anaonesha hana aibu wala mipaka atakuharibia huyo usipoangalia vizuri mkuu