Nimsaidiaje aachane na ulevi wa kupindukia

Nimsaidiaje aachane na ulevi wa kupindukia

Mtoe huko kijiji mpeleke Mjini Vijana wengi vijiji walevi sana hakuna kazi huko aseh Tena unaweza kuwa ni mlevi wa ngongo
 
Mie pia nna tatizo kama la kakaako
Tofauti ni moja tu
Ye anapenda pombe na mm ni pesa!
Linapokuja suala la pesa naeza acha demu ambae nimemsotea miaka kadhaa na akaondoka bila kuguswa!
 
Back
Top Bottom