jamani labda mtanisaidia, nifanyeje nimridhishe huyu mwanaume??? sasa kwangu kawa kama guberi haridhiki na mambo ninayompa chumbani japo hajishughulishi hata kuniandaa. na mbaya zaidi mume wangu huyu hata kama nikiwa kwenye 'siku zangu' anataka kuingia, jambo ambalo kikwetu ni mwiko. ukimkatalia anakutishia kutoka nje ya ndoa. .. jamani hii mwenzenu mbona imekuwa taabu tupu.
mbadilishie mtandao tuu ataacha kukubeep, mtandao mzuri wenye network nzuri na inayoaminika na wengi mujini ni "Tigo".mpatie huo atapoa tu na hata ukiwa kwenye siku zako apana shaka mtandao wa tigo ndio wenyewe.Kitu kitamu unakula na mpenzio.
Ndoa ni mzigo..inabidi uubebe hadi mwisho ....au kama mnaruhusiwa kuubwaga njiani kufuatana na imani yenu basi uamue mwenyeweMfundishe huyo mumeo namna ya kufanya mambo vizuri. Kina mama ni walimu wazuri sana wakiacha kuwa na aibu. Mwelimishe kwani si wanaume wote wanajua mwanamke anachotaka au anavypaswa kuwa treated katika mambo ya chumbani.
Zaidi umvumilie. Wengine wana nguvu kama farasi. Vumilia. Ndiyo ndoa mama.
...kina mama mpo? mkumbusheni za 'kicheni-pati' mwenzenu π
...Kitchen party - mimi sizifagilii sana..ila huwa naona kuna tatizo. Iweje mwanamke afundwe kwenye Kitchen party halafu anaenda kukutana na mwanamume ambaye hana hili wala lile.Hivi what is the equivalen of kitchen party for men?
Kitchen party - mimi sizifagilii sana..ila huwa naona kuna tatizo. Iweje mwanamke afundwe kwenye Kitchen party halafu anaenda kukutana na mwanamume ambaye hana hili wala lile.Hivi what is the equivalen of kitchen party for men?
...stag night!!
Msimdanganye mwenzenu! Huyu mumeo kwani alikuwa vipi tabia zake? Ni kitu kaanza siku za karibuni au?
Ndoa ni mzigo..inabidi uubebe hadi mwisho ....au kama mnaruhusiwa kuubwaga njiani kufuatana na imani yenu basi uamue mwenyewe
Kitchen party - mimi sizifagilii sana..ila huwa naona kuna tatizo. Iweje mwanamke afundwe kwenye Kitchen party halafu anaenda kukutana na mwanamume ambaye hana hili wala lile.Hivi what is the equivalen of kitchen party for men?
Hakuna kitu kama hicho jirani lakini kuna umuhimu wa kuwa nacho.
Jirani, hivi na batchelor's party inakuwaje?
humo wanafundishwa nini?
Kitchen party siko aina mbili...kuna zinazofundisha mwanamke kuwa reactionary..halafu zipo zinazofundisha mafundisho mazuri yenye kutilia mkazo mke mzuri anapaswa kuwa vipi na kutekeleza vp wajibu wake kama mke.
Strippers galore....
Ha ha ha ha ha ha miye wala sitii neno π
...mwanamme anayefundishwa kwenye stag night atakuwa zebwe fulani hivi!!
...mara nyingi ni kwa ajili ya last minute private dance kutoka kwa hired stripper na mwendo wa booze kwa sana!
...nothing special (no teachings) apart from boisterous jabbers as a form of farewell to the one distancing himself from bachelorhood
Sasa jamani... nyie wanaume how do u get ready for a new life as a married man hasa pale mkeo atakuwa kapikwa vilivyo? Je hamuoni kunakuwa na expectations pia kwa upande wa mke? Au wanaume wanafikiri hawana role?
...na kweli π mwanaume unajifunzia 'mitaani' tu...mtajuana huko mbele kwa mbele!
Sasa jamani... nyie wanaume how do u get ready for a new life as a married man hasa pale mkeo atakuwa kapikwa vilivyo? Je hamuoni kunakuwa na expectations pia kwa upande wa mke? Au wanaume wanafikiri hawana role?