Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,485 Jun 29, 2011 #21 Mrejeshee ujana wake kama unaweza...hiyo itakua zawadi ya kipekee kuliko nyingine zote!!
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Jun 29, 2011 #22 mpe heshima sana huyo mkeo. Sio wanawake wote tuna mioyo ya huruma.. Mimi mtoto nilie mkuta ntamlea kwa upendo wote ila aliyenikuta Nooo! Silei..
mpe heshima sana huyo mkeo. Sio wanawake wote tuna mioyo ya huruma.. Mimi mtoto nilie mkuta ntamlea kwa upendo wote ila aliyenikuta Nooo! Silei..
Keren_Happuch JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 1,874 Reaction score 935 Jun 29, 2011 #23 Abarikiwe huyo mama! Mpe upendo wa dhati na uaminifu! Nawatakia baraka tele kwa maisha yenu, hakikisheni mnamkumbuka Mungu katika maisha yenu!
Abarikiwe huyo mama! Mpe upendo wa dhati na uaminifu! Nawatakia baraka tele kwa maisha yenu, hakikisheni mnamkumbuka Mungu katika maisha yenu!
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,688 Jun 29, 2011 #24 Mpe chochote anachokifurahia, fanya yote yatakayomfanya ajione anapendwa na kuthaminiwa ila kikubwa zaidi ni kuacha kufanya aliyokukataza.
Mpe chochote anachokifurahia, fanya yote yatakayomfanya ajione anapendwa na kuthaminiwa ila kikubwa zaidi ni kuacha kufanya aliyokukataza.
A Aisha Adam JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 460 Reaction score 104 Jun 29, 2011 #25 Huyo huna cha kumlipa zaidi ya kumuombea kheri na maisha mema kwa mungu,muheshimu sana hakika umepata mke mwema
Huyo huna cha kumlipa zaidi ya kumuombea kheri na maisha mema kwa mungu,muheshimu sana hakika umepata mke mwema
O obseva JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 578 Reaction score 663 Jun 29, 2011 #26 Usimtendee uovu, na atakuamini milele.
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,465 Jun 29, 2011 #27 ngoshwe, Nadhani Mwenyezi Mungu amekujalia ukwasi - Hakuna mwanamke anayeweza kumkimbia mwanamume mwenye pesa - no.. never!
ngoshwe, Nadhani Mwenyezi Mungu amekujalia ukwasi - Hakuna mwanamke anayeweza kumkimbia mwanamume mwenye pesa - no.. never!
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,335 Reaction score 23,951 Jun 29, 2011 #28 Baba_Enock said: ngoshwe, Nadhani Mwenyezi Mungu amekujalia ukwasi - Hakuna mwanamke anayeweza kumkimbia mwanamume mwenye pesa - no.. never! Click to expand... hahaha...BE, hii research imefanyika kulekule kwenu (bar) ama!???
Baba_Enock said: ngoshwe, Nadhani Mwenyezi Mungu amekujalia ukwasi - Hakuna mwanamke anayeweza kumkimbia mwanamume mwenye pesa - no.. never! Click to expand... hahaha...BE, hii research imefanyika kulekule kwenu (bar) ama!???
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,579 Reaction score 575 Jun 29, 2011 #29 .....hakikisha umemuandikisha kwenye mirathi, kama hujaandika nenda sasa kaandike........lol. Abarikiwe sana huyo mkeo.
.....hakikisha umemuandikisha kwenye mirathi, kama hujaandika nenda sasa kaandike........lol. Abarikiwe sana huyo mkeo.
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,893 Reaction score 7,047 Mar 29, 2024 #30 Ni nini au wapi asili ya neno mamsapu?
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,415 Reaction score 9,303 Mar 31, 2024 #32 Nyaka-One said: Ni nini au wapi asili ya neno mamsapu? Click to expand... yo mamsapu nipoze moyo mama, nimechamganyikiwa penzi lako la..........
Nyaka-One said: Ni nini au wapi asili ya neno mamsapu? Click to expand... yo mamsapu nipoze moyo mama, nimechamganyikiwa penzi lako la..........
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,888 Reaction score 131,907 Mar 31, 2024 #33 Mtoto aliyeandikwa hapa soon anakuwa member mwenzetu hapa jf. Yaani miaka kadhaa ijayo tutaanza kubishana nae humu. Wazee twendeni taratibu.
Mtoto aliyeandikwa hapa soon anakuwa member mwenzetu hapa jf. Yaani miaka kadhaa ijayo tutaanza kubishana nae humu. Wazee twendeni taratibu.