unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,869
wakudadavuwa! taizo lako unadhani we are OBJECTS of Jiwe! ukijikamua na hapo, then ...
Shame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!
You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.
Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!
NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
Wanaleta siasa kwenye tafiti za kisayansiShame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!
You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.
Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!
NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
Umewahi kwenda NIMR ukaona lab zao? Lab lazima iwe versatile kufanya research yoyote. Nilitegemea waje na active ingredient ya kila mmea..... get it characterized and then tested in mice or whatever method of testing its action on the virus.... kitu kama hicho, . Siyo kupika mitishamba kama mzee wKikombe.na kuweka sokoni eti ni dawa! National Institute for Medical Research, jina kubwa sana!..Ku-revamp research agenda yao kivipi? Kwani wakati wanaset research agenda walijua kuna kirusi cha corona kitawavamia?...…….. Hao China wenyewe wamesanda itakuwa NIMR?
Slavery Mentality is upon you ass!!Shame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!
You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.
Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!
NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
Unataka watu wafukuzwe kazi kwa kuwa professional kama ilivyotokea kwa naibu waziri wa afya? Mkuu anataka kusikia habari ya nyungu na mitishamba kwa hiyo kila mtu ndio anaitika hivyo kuokoa kibarua kisitokomee.Naanza kuelewa/kuwaelewa! Basi nisiwalaumu!
Siku ukibarehe kwenye akili yako utaelewa!!Umewahi kwenda NIMR ukaona lab zao? Lab lazima iwe versatile kufanya research yoyote. Nilitegemea waje na active ingredient ya kila mmea..... get it characterized and then tested in mice or whatever method of testing its action on the virus.... kitu kama hicho, . Siyo kupika mitishamba kama mzee wKikombe.na kuweka sokoni eti ni dawa! National Institute for Medical Research, jina kubwa sana!..
😂😂😂😂😂😂😂
Siku zote tunatupia sana lawama vitendea kazi, lakini tukumbuke pia vitendea kazi ni zao la elimu. Anyway, binafsi naona tatizo ni mfumo wa maisha tuliochagua. NIMR ina watu wa kutoka nchi gani hadi wao wawe na mawazo na mitazamo tofauti na sisi Watz wengine!? Wahadhiri wa vyuo vikuo, baadhi ya mawaziri, wabunge, nk wamesoma, tena wapo waliosoma katika vyuo na nchi tunazoziamini kabisa; lakini ni nani hajaufyata na kucheza na mdundo wa ngoma inayopigwa na mtu mmoja tu kwa sasa!? Ni kweli Watz wote tunaamini mtu mmoja tu ndiye mwenye maono ya kila kitu? Mihimili yote ya nchi kaishika na kuagiza ifanye atakavyo, mwisho wa yote hata taasisi kama hiyo NIMR amabyo ilitakiwa ifanye mambo kwa utaalamu nazo zinakosa hiyo nguvu. Wasomi ambao hawajaajiriwa na serikali, huku mitaani, nao wanaufyata na kuimba wimbo, sembuse NIMR (waajiriwa wa serikali)!! Retired unaweza kuta wewe wala si muajiriwa wa serikali, na una elimu nzuri tu, lakini hujawahi (hata kwenye page yako ya facebook) tu kuweka mawazo tofauti na ya serikali! Hapo tunawezaje kuwasema NIMR! Binafsi naona nchi yote inahitaji mapinduzi makubwa ya kimfumo. Ile siku watz tutapata akili na kusema hatutaki kuongozwa namna hii, tunataka huyu awe na uwezo wa kufanya hivi, na huyu asimuingilie yule kwenye ufanyaji kazi wake, na kwa vile haingiliwi akikosea tutamuwajibisha hivi nk. ndipo tutaweza kuwasema NIMR, vyuo vikuu, watumishi wa umma, askari polisi, nk.Mimi sidhani kama ni elimu; tatizo ni hivyo vitendea kazi vipo vya kutosha hata watu wajikite kufanya utafiti? matokeo yake akili za wataalam wetu zinadumaa!
Ndiyo wamezinduka.... Tuwapongeze hata kwa hili. Sasa waongeze bidii zaidi katika kufanya utafiti wa dawa za chanjo na tiba za magonjwa mbalimbaliUko sawa kabisa hawa jamaa miaka yote tumekuwa nao hatujawahi sikia wametengeneza dawa itokanayo na mimea dawa kwa ajili ya hata kikohozi. Suddenly out of pressure they come up with anti-Covid-19. JOKE!!!
Siyo NIMRI ni NIMRNIMRI inachezs bits za nogmaals ya mtawala, mtawala anataka ushindi rahisi katika vita na NIMRI wametoa jibu rahisi.
Kwa hiyo tatizo ni serikali?Mimi sidhani kama ni elimu; tatizo ni hivyo vitendea kazi vipo vya kutosha hata watu wajikite kufanya utafiti? matokeo yake akili za wataalam wetu zinadumaa!
Siyo serikali..mambo ni mengi muda ni mchache
Ni kweli, kawaonea NIMR, Ila ukweli ni kuwa ni Kila mahali, Kila kitu, hatuna utaalamu wowote wa maana tunategemea wachina na wazunguRetired,
Kwa kifupi tatizo sio NIMR tatizo ni mfumo mbovu wa elimu tulio nao.
Sent using Jamii Forums mobile app