Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,404

Nilikutana naye kwenye daladala nikavutiwa nae tukabadilishana namba za simu, kutokana na ubize wa kazi nikajikuta wiki imepita bila kumpigia wala yeye hakunipigia. Asubuhi moja naamka nakutana na ujumbe huu kutoka kwake; "Hivi namba yangu ulichukua ya maonyesho au?"
Je nimpigie au nikaushe?