Nimpige chini?

Nimpige chini?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,147
Reaction score
55,635
Nataka nimpige chini mchepuko,nampigia simu inaita haipokelewi na mawazo yanayoniijia kichwani kwa kutokupokea simu nahisi labda ni dharau au anapigwa mashine,mbaya zaidi anaujauzito wangu na kuna fedha aliomba kwangu ingawa nakuwa mgumu kuitekeleza yote;sasa nataka nitumie huu upenyo wa kutokupokea simu nimpige chini.Waungwana, mnasemaje kuhusu hilo?
 
Umesha mpachika mimba binti wa watu '---halafu una Tafuta sababu za kumuacha

Baadae akija kuzaa mtoto --- mnakuja Jf na kuanza kuwa kashifu single mothers. ..

Huo sio Uungwana aise
 
Umesha mpachika mimba binti wa watu '---halafu una Tafuta sababu za kumuacha

Baadae akija kuzaa mtoto --- mnakuja Jf na kuanza kuwa kashifu single mothers. ..

Huo sio Uungwana aise
ha ha ha ha,tatizo hapokei simu yangu sa sijui kinachoendelea huko.
 
Bad mind ina maana ye kutopokea simu tayari ushawaza anagegedwa? We sema umeshindwa kulea mimba na unataka kusepa
Nashindwa kuelewa kwa nini hapokei....kwa sababu kuna muda alinipigia nikawa bize,baada ya dk 10 kumpigia hapoke simu,nimepiga mara 7,hakuna kitu.
 
Hapana,, we mpige juu.
Nataka nimpige chini mchepuko,nampigia simu inaita haipokelewi na mawazo yanayoniijia kichwani kwa kutokupokea simu nahisi labda ni dharau au anapigwa mashine,mbaya zaidi anaujauzito wangu na kuna fedha aliomba kwangu ingawa nakuwa mgumu kuitekeleza yote;sasa nataka nitumie huu upenyo wa kutokupokea simu nimpige chini.Waungwana, mnasemaje kuhusu hilo?
 
Kwanini usifikirie kuwa huwenda ikawa amepatwa na matatizo. .. badala yake unaanza kumuwazia mabaya tu !!!
Tatizo ni chura matata kiuno nyugwi akipita hapo lazima mwanaume ageuke,wakati mwingine hadi ke wenzake wanasimamisha.
 
Vjana bwana

sasa we upokei unakua busy, lakini ye asipo pokea basi unahisi anatobw*

mwizi siku zote uhisi anaibiwa

pole tatzo ni umri wako mkuu nimesha guess na nimejua 27,28
 
Michepuko kuna kipindi inajichetua na kukengeuka mpaka unatamani umuombe wife ushauri.
Wa kwangu ana wiki hapokei simu wakati mara ya mwisho amenipa mambo matamu, sarakasi kama zote, na nilitegemea kumuomba wife apande cheo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom