Nimpige chini?

Nimpige chini?

Umesha mpachika mimba binti wa watu '---halafu una Tafuta sababu za kumuacha

Baadae akija kuzaa mtoto --- mnakuja Jf na kuanza kuwa kashifu single mothers. ..

Huo sio Uungwana aise

Jamaa alikubali wajibu wa kuwa yeye ndiyo aliempa ujauzito atimize wajibu wa kulea
 
Mpe namba Mkuu labda amevamiwa na vibaka sasa jamaa akimpigia vibaka wataogopa namba ngeni
ha ha ha huyo akikutana na kiuno nyugwi chura matata hatutamuona jf.....tunaweza kuachiwa ID tu.
 
Uo upuuzi ndo nshamkataza mme wangu,mtu asipopokea smu kwa nin usiwaze labda kapata tatizo badala yake kitu cha kwanza unawaza anachepuka
 
Nataka nimpige chini mchepuko,nampigia simu inaita haipokelewi na mawazo yanayoniijia kichwani kwa kutokupokea simu nahisi labda ni dharau au anapigwa mashine,mbaya zaidi anaujauzito wangu na kuna fedha aliomba kwangu ingawa nakuwa mgumu kuitekeleza yote;sasa nataka nitumie huu upenyo wa kutokupokea simu nimpige chini.Waungwana, mnasemaje kuhusu hilo?
Mkuu kabla ya kumpiga chini hakikisha umechukua ujauzito wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom