habar wakuu, ushauli wenu tafadhali,
mwaka jana mwishoni mwezi wa 12/2018 nlikutana mtoto mmoja mzuri tulianza kama malafiki mwishi wa siku tukapendana japo yeye alimaliza form 4 na mwaka huu yupo shule advance, alkuwa nanionyesha upendo sana, kipindi hicho tunajuana nlikuwa na hali mbaya kimaisha, kila siku lazima anitumie salio njiunge nimpigie, na pia nikiwa nashida ananitumia pesa ilifika hatua hadi simu yangu ilikuwa mbovu alinipa hadi ela nikanunue simu nyingine, alikuwa ananipenda sana.
mwezi wa 7 mwaka huu ameenda shule, amenihaidi ananipenda sana nimsubili miaka miwili ya A level akimaliza tu yupo tayali kwenda chuo akiwa namimba yangu mwisho wa siku tuliagana nampaka sasa yupo shule mwaka wa kwanza huu
ndipo nlipokutana namtoto huyu mwingine naye ananipenda sana pia nayeye ananitumiaga hela siku nyingine, sio kwamba sina pesa ila wananipa wenyewe, pia nmefanikiwa kumemgegeda mala kadhaa japo namfumaniaga mara kadhaa message nyingi zawanaume lakini yeye anasema ananpenda sana mimi ila wao wanamtongoza tu, na hata sasa yupo tayali kunbebea mimba na ananilazimisha nimpe mimba,
lakini mimi kiukweli moyo wangu karibia wote upo kwauyu mtoto alikuwa shule naona ndio atakuwa mama bora wawatoto wangu hapo baadae, nimpole ajawahi kunibishia kitu chochote nikimwambia fanya, nimcha mungu, huwa ananipa ushauli mzuri wamisha kuhusu hii mipombe yangu ninayokunywa kila siku, yupo tayali kufanya lolote kwangu, atujawahi kugombana ata siku moja ata kama nimemkela awezi kukasirika japo atakumbushia tu, mwisho. asilimia kubwa moyo wangu upo kwake.
wakuu naombeni mnishauri kwamba nimsubili amalize shule miaka miwili au nimpotezee?
uzi tayali.
asantn