God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Pole sana mkuu mm nakushauri usiweke tumaini kwa yeyote hapa duniani, utakua huru muda wote kuliko kumpa mtu tumaini mwishowe anakuja kukupa kilema cha maisha... Mioyo ya wengi wenye upendo wa kweli inavuja damu sema siku zinaenda tuu!
Of course hutakua na furaha maishani ila kwangu mm ni bora zaid. Ni bora kukosa kitu kabisa kuliko kuishi na kitu kwa mashaka.
Wengi wamefikia kujiua kabisa... kwa hali hii mm sitarajii chochote kwa kweli hapa duniani hata kama namkosea Mungu poa tuu nitabeba msalaba wangu mwenyewe sikupenda lakini.
Mungu akutangulie.