Nimpaie Risiti ya EFD

claramasawe

Member
May 16, 2020
37
40
Habari za wakati huu

Napenda kufahamu jambo moja kutoka kwa watu wenye uzoefu kwenye biashara

Kuna jamaa mmoja anataka nimpe risiti ya EFD lakini kiujalisia kazi hajanipa (yani sijafanya kazi yoyote

Masharti anilipe 18% ya hiyo pesa ninayompa risiti ni pesa ndefu karibia 10 m.

Je, hapa kiuchumi ipoje haiwezi kuja niletea shidana TRA?
 
Ngoja waje watu wa manunuzi ... Kabla ya risiti mteja unampa nini ukiwa huduma hujaitoa
 
Hiyo 18% ni VAT utailipa TRA. Usikubaliane naye itakuletea shida kwenye makadirio ya Kodi utaonekana umefanya kazi sana wkt sio kweli.
 
Mbona zinapatikana mtaani, nilikuwa nafanya hiyo michezo wakati nafanya retirement kwenye makampuni ya mabeberu
 
Kimsing, kama haupo VAT registered, hakutakiwa kukupa hata hiyo 18%...
Kwasababu bado haujaruhusiwa kisheria kupokea VAT, na wala huna jukumu la kuipeleka hyo 18% TRA.

Pia,Kama huyo mtu, amefanya biashara na mtu ambaye alimcharge VAT, bhasi risiti yako haitomfaa... maana haitoonyesha amount ya VAT ambayo alimchaji huyo mtu.

Nitarudi...



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
assuming you are VRN:
(1)Atakupa 18% ambayo itabidi uilipe TRA assuming no input tax,
(2)thamani ya risiti itatumika kukokotoa faida/hasara ya biashara yako ambayo mwisho wa mwaka itatumika kukokotoa kodi ya kampuni au binafsi.
Hata hivyo nakushauri kataa kwa sababu risiti inaweza kutumika katika namna itakayokufanya kupigwa pingu
 
Sasa asiponipa hiyo 18% na kazi sijafanya mimi faida yangu itakuwa wapi huoni nitaongezewa kodi hata kama sintafika kwenye VAT?
 
Sasa asiponipa hiyo 18% na kazi sijafanya mimi faida yangu itakuwa wapi huoni nitaongezewa kodi hata kama sintafika kwenye VAT?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jambo la kwanza, muulize kama anataka risit yenye VAT au hata bila VAT...

Kama anataka risiti yenye VAT, bhasi risiti utakayompa wewe itakuwa haina maana na atakapopelekewa mteja ataikataa... maana wewe haupo VAT registered...

Lakini kama anataka risiti ambayo haina VAT, yani labda kwa nature ya biashara aliyofanya... haikulazimishi mtoa huduma uwe VAT registered...
Bhasi, kubaliana nae kiasi flani atakachokulipa wewe kama malipo ya kumpa hyo risiti... na sio lazima iwe asilimia 18.. ni wewe tuu utakavyoona...

Matokeo ya wewe kumpa hyo risiti,
Utakapompa hyo risiti, itaonyesha kiwango kikubwa sana cha mapato katika mwaka huo wa biashara... kuliko uhalisia wenyewe... hyo inaweza ikasababisha ukalipa kiwango kikubwa cha income tax(hapa itategemea na hesabu zilivyoandaliwa).

ANGALIZO:
mchezo unaotaka kuufanya, wenyewe wanakataza sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom