Asante diallo kwa kutuwekea kijana pale.
Sio msamiati huo,lete evidence plz
Ni kweli mimi nafanya naye kazi, huyu patrobass ni kipenzi cha wafanyakazi, kwanza ni mtu wa watu, ni msikivu sana na anapenda sana kutenda haki na mambo yake anayafanya kwa tahadhari sana na kwa umakini mkubwa. Huyu jamaa atawasaidia sana CHADEMA,
Aliwahi kufuatwa na watu wa chama kileee ili ajiunge nao, jamaa aligoma na alikataa kata kata.
kwa ufupi, huyu jamaa anatenda kile anachokiamini.
Pia huyu jamaa hapa kazini hana kundi kwamba hili ni la watu wake au la! wote ni wake.
baada ya kuteuliwa kushika nafasi aliyonayo sasa, malalamiko ya wafanyakaxi yameisha kabisa. kama huamini mtafute mtu yyte unayemfahamu pale sahara umuulize.
achana nae huyo ashaanza kuweweseka

Acha ulevi wa viroba,tumeona uzi humu umeletwa na wafanyakazi wenzenu wakilalamikia kutolipwa mishahara ya miezi mitano kwa kuwa bosi wenu eti anafanya ujenzi, hayo si malalamiko? Na kimbilio lenu ni jf sio kwa huyo kitambi noma
Nawasalimu wanajukwaa wote! Kama alivyowahi kunena George Herbert kwamba, "The best mirror is an old friend". Kutokana na harakati za uchaguzi BAVICHA kushika kasi, nimeona ni vema mkamtambua mmoja kati ya Kamanda anayetajwa kugombea Uenyekiti BAVICHA-Taifa ndugu Patrobass Paschal Katambi. Tulifahamiana tangu mwaka 2010 katika harakati za uchaguzi mkuu jijini Mwanza tukiwa tunahamasisha wapiga kura kuwachagua viongozi kutoka udiwani,ubunge na urais kwa tiketi ya CHADEMA. Mwaka 2011 nilifanya naye kazi ya chama CHADEMA-SAUT akiwa Mwenyekiti, Nicholaus Kirunga akiwa Makamu Mwenyekiti nami nikiwa Naibu Katibu.Mhe.Patrobass ni kiongozi mzuri mwenye kuwasikiliza watu wanapomshauri.Ni katika uongozi wetu tuliivunja ngome ya CCM SAUT na kumweka Kamanda Godlisten Malisa kuwa Rais nami nikiwa Naibu Waziri katika wizara ya mikopo.Tulifanya kazi nzuri na kujenga jina lililowavutia hadi viongozi wa kitaifa.Tulikijenga chama kwa jina na hadhi ya kuwaogopesha CCM, mwenye swali/dukuduku aniulize nitamjibu!
We jamaa uliona mbali sana.Saa...hara??? mnataka nimkumbuke msaliti Ludovick? CDM wekeni macho yenu wazi hapo!
Aiseee... Watu noma sana kwa utabiri!😀We jamaa uliona mbali sana.
Watu wana vipaji mkuu.Aiseee... Watu noma sana kwa utabiri!😀
Rudi utoe mrejesho..! Ni watu wenye six sense wanaweza kujua haya..Kimsingi wanaotaka kumbeza kamanda PP wajue wanatusaliti vijana wote wa na wana CDM kwa ujumla,jamaa yupo vizuri sana,ni miongoni mwa wanasiasa wachache vijana wanaojua siasa za aina zote,mnyenyekevu na anaefanya kazi kwa kzingatia kanuni,taratibu na katiba,binafsi nimefanya nae kazi kama makamu Mwenyekiti wa CHASO SAUT,CDM pale SAUT ilikuwa katika ubora wake zaidi
Njoo mkamtete tena..!Ni kweli mimi nafanya naye kazi, huyu patrobass ni kipenzi cha wafanyakazi, kwanza ni mtu wa watu, ni msikivu sana na anapenda sana kutenda haki na mambo yake anayafanya kwa tahadhari sana na kwa umakini mkubwa. Huyu jamaa atawasaidia sana CHADEMA,
Aliwahi kufuatwa na watu wa chama kileee ili ajiunge nao, jamaa aligoma na alikataa kata kata.
kwa ufupi, huyu jamaa anatenda kile anachokiamini.
Pia huyu jamaa hapa kazini hana kundi kwamba hili ni la watu wake au la! wote ni wake.
baada ya kuteuliwa kushika nafasi aliyonayo sasa, malalamiko ya wafanyakaxi yameisha kabisa. kama huamini mtafute mtu yyte unayemfahamu pale sahara umuulize.
Utauliza evidence tena???Sio msamiati huo,lete evidence plz
Ndiyo mjue chadema wengi wenu ni vipofu hamuoni..!Kila anayemjua patrobas basi atajua chadema imepata kiongozi hasaaa....jamaa ana quality za kiongozi...visionary, determination, focus na ni mtu was kuheshimu kanuni na sheria, humble na msikivu mno....!!!
Sisi tuliosoma Saut mwanza na kushuhudia utendaji wake ni dhahiri kabisa ataifanyia mengi chadema na taifa......!!!
Sifa ya kukilinda na kukitetea chama kwenye kipind ka hiki inamfanya aaminike zaidi katika familia ya chadema
Mkuu uliona mbali aisee...Haya MAKALA Jr ila huwezi kujua content ya kitabu kwa kuangalia cover page tu.
Ila kwa kuwa ulishiba kupitia bakuli la Patrobas na Malisa wewe ukiwa kama waziri mdogo wa mikopo pale CHUONI na mwanaharakati usiyeeleweka eleweka mle darasani kwetu BAPRM na vile vijiwe vyetu vya kisiasa nje ya mwanjonde na pale magazetini basi unaconclude kuwa huyu bwana ni msafi na mzalendo wa ukweli wa kuitetea na kuibeba chadema.
Ila kwa upande mwingine wa mawazo yangu ni kwamba HAFAI KABISA.
Niulize Kwa nini..........!!