Nimjuavyo Kamanda Patrobass Paschal Katambi tangu mwaka 2010!

Nimjuavyo Kamanda Patrobass Paschal Katambi tangu mwaka 2010!

Kijana Makala Jr; Umepiga kunako moyo kwa Magambaz walioazimisha akili zao wakidhani CDM inabeba Ma-dudu ya usaliti (pro ACT) yanayokula toka Lumumba na kutetewa na BUKU 7 waliojaa hapa JF...! na hiyo ndio salaam mpya ya vijana BAVICHA,...na katikati BAWACHA amejisimika Mwanamama Mdee....salamu kubwa zaidi inakuja M/Kiti Mbowe atakapochukua ndio ngoma itapasuka...nchi kuchukuliwa na umma inahitajika ishara zipi zaidi??
Chadomo rudi utete ujinga wako hapa leo...!
 
Harakati za watu weusi kutafuta uongozi ili washibishe matumbo yao ilihali walitakiwa wawe wakulima na si viongozi.
Hizi thread za zamani huwa zinafurahisha sana ukifukua nyingine za kina kitila mkumbo walichokisimamia na wanachofanya sasa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom