Mkuu hayo huwa yanatokea,inawezekana labda mwanzoni alikudharau kwasababu flan flan kama hali ya kiuchumi,aliona wewe sio type yake au alikuwa na mtu wake
Cha kufanya kama unampenda huyu uliye naye sasa we mwambie Najua ulikoipata hiyo picha na ni ya mpenzi wako wa sasa na akikuambia ndio maana hukukupenda mwambie tu Sawa na shukran, ili aendelee kujihukumu mwenyewe na kupata majibu
Usipate shida wala kuweweseka kwani anajua A-Z of what happened
story kama hii imeshanitokea nilimpenda binti mmoja ambaye tulikuwa majirani ila kwa sasa yupo mbali kidogo ila tunaishi mkoa mmoja na alikuwa hanitafuti mpaka mimi nianze kumtafuta kwa sasa ameanza kunitafuta baada ya kusikia nimepata mpenzi mwingine ikizingatiwa alinikataa ikabidi niheshimu uamuzi wake ila amekuwa anasumbua sana turudiane nikimuambia amechelewa hanielewi.

Mkuu,
What is your line of profession? You seem to impress me in most of your comments. You a community psychologist?.
Impressive.
Likely ...
Ila hapa jamaa labda hakufanya bidii ya kutosha.....the hard to get thing....
Labda angesoma body language kingeeleweka.
Jamaa asije akatema bigijii kwa karanga za kunusishwa. Huyo mpare hakawii kubadilika hisia kabla ya sikukuu ya muungano.
story kama hii imeshanitokea nilimpenda binti mmoja ambaye tulikuwa majirani ila kwa sasa yupo mbali kidogo ila tunaishi mkoa mmoja na alikuwa hanitafuti mpaka mimi nianze kumtafuta kwa sasa ameanza kunitafuta baada ya kusikia nimepata mpenzi mwingine ikizingatiwa alinikataa ikabidi niheshimu uamuzi wake ila amekuwa anasumbua sana turudiane nikimuambia amechelewa hanielewi.
Thanks for compliment
I am not a psychologist ...just a small entrepreneur