KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,768
- 86,454
- Thread starter
- #41
Sister nilitegemea utanipa pole.. Sasa Kaka yako nikiuliwa unafikiri utampata Kaka mwengine Kama mimi..?Siku nyingine hutarudia tena kunyatia nyatia..
Kibonge mwenzangu heko uko uliko
Kuwa kibonge haimaanishi msiwe romantic jitahidini..
Halafu sister Kuna totoz moja nimeimind hapa ila naogopa kumfata!.. nifanyie wepesi umwambie hisia zangu kuwa nimempenda!.. mwambie nataka niwe wake wa maisha!..
Ni huyu shunie ndo nimempenda! Nisaidie dada pls.....
Ipo siku yatakukuta tu ndo utajua niufala au niupala!una ufala mwingi mkuu... Hahahaa
Mambo mbona si jambo lakuuliza!.. chobonge nampa mambo si tu maji anaita mma no bali uji anaita wine mkuu! Tatizo huyu chibonge hayupo romantic!Mpige mambo kisawa sawa mkuu mpaka maji aite maa, adabu itakuja automatic afu uje nishukuru badae


huku akitabasam.. hapo siku ingeisha vizuri tu..