Nimfanyenini huyu mwanamke?

Nimfanyenini huyu mwanamke?

Kwenye jarida la SANI ile kurasa ya katikati kulikuwa na Kibwagizo Kinaitwa "Nichekelee" nakumbuka pale ndio tulikuwa tunapata vibonzo mbali mbali na stori tu za kuchekesha kama hizi. I remember those moments
 
Yaani uko tofauti sana mkuu, wengine kwenye nyuzi zao utasikia wine, sijui whiskey mara Savannah n.k

Ila wewe juisi kola tu
Hayo mengine nikinywa huwa naota Mara nimekabwa especially wine ndo kabisa huwa naota nakojoa!.. Sasa guess huwa kinatokea nini..!

Juisi cola yenyewe hainipi tabu
 
Em nipe namba yake nizungumze mzae ikiwa ww anakufanyia hivi watoto sindo ataua kbsa

Sent from my ɪᴩʜᴏɴᴇ 11ᴩʀᴏ using JamiiForums.com mobile app
Hata angening'oa jino namba sikupi mkuu bora kuhangaika nae tu na uchibonge wake. 😂
 
mi hadi leo nimekoma kumsuprise mwanamke kwa kumtekenya!!dem wng siku hiyo nilimfanyia hivyo kwa kumgusa tuu mbavuni hiyo kofi alinipatia sitasahau na kulikuwa na watu wengi pale nikawa najichekesha tuu kuua noma!stim zote ziliruka tulinuniana siku 3
 
mi hadi leo nimekoma kumsuprise mwanamke kwa kumtekenya!!dem wng siku hiyo nilimfanyia hivyo kwa kumgusa tuu mbavuni hiyo kofi alinipatia sitasahau na kulikuwa na watu wengi pale nikawa najichekesha tuu kuua noma!stim zote ziliruka tulinuniana siku 3
😂😂 Mkuu vipi mlishapatana Tena..? Au ndo ulimuacha..??
Acha nicheke kwanza nimalize kwa hiyo unataka kusemaje sasa kuhusu sisi vibonge
Mpunguze hasira!.. huo ubonge wenu sio kigezo cha kujiona kina matumla!.. jitahidini muwe romantic..😉
Kama hapo nilipomtekenya ilitakiwa ashtuke kidogo halafu aniite jina langu huku akitia tumaneno mfano "kilamba mwiko achabasi"😍😜 huku akitabasam.. hapo siku ingeisha vizuri tu..😉
 
Back
Top Bottom