Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
- Thread starter
- #61
mtafute ukiwa na helmet kichwani,gloves pamoja na zana nyingine yaani maandalizi kabisa ya kivita!uje kwangu na stori eti eeeeh unajua kaka me nimemla mkeo kwa miaka miwili but ooooh sikujua kuwa ameolewa?naanza na wewe uliye mbele yangu namalizia na huyo hawarako!
Utashangaa huenda ni wewe! jiandae kudundwa kisawasawa!