Nimfanyeje???

Nimfanyeje???

Heeeeeeeeeeeeeeeeeh! SIJAWAHI SIKIA MTU ANAJIPELEKA MWENYEWE KUNYONGWA, HAYA KAKA KILA LA KHERI.
KATIKA AKILI YAKO UKIENDA KUMWELEZA KUWA MKEWE ALIKUDANGANYA ATAKUELEWA, WAKATI ANAJUA ULIKUWA UNAKULA URODA WAKE? MM NADHANI ATAHISI UNAENDA KUMRINGISHIA KUWA WEWE KIDUME KUSHINDA YEYE. SASA UTAKIONA CHA MTEMA KUNI.

kwa kuwa mimejua siendelei naye. ila namshangaa huyo mume wake ambaye amejua na kunyamaza - au ananivutia pumzi nini?
 
kwa kuwa mimejua siendelei naye. Ila namshangaa huyo mume wake ambaye amejua na kunyamaza - au ananivutia pumzi nini?

tulia kimyaaaaaaaaaaa na wewe, kama ni kukutafuta akutafute yeye , ila mtafute umfahamu alivyo , ni vizuri ukimjua adui yako anafananaje,na anasilaha gani ni rahisi kujihami kuliko ukae bila kujua hilo.
Pili anza kufanya feasibility study ili ujue kwa nn yule mwanamke alikwambia hana mume.
Inawezekama wametengana na mumewe na yeye akawanakuja kwako kwa ajili ya kupoza kiu
au mumewe hamtoshelezi kunako 6 x 6 ndiyo maana akawa anakuja kwako
ukishajua sasa mwambie huyo mwanamke akueleze kwa nn alificha kuwa hana mume?
Hapo utakuwa umeshapata picha kamili, maana sisi wanawake hatuwezi kuwa na mume, halafu ukasema huna, haiwezekani.

"fuatilia, fikiria halafu chukua hatua."
 
Dada nashukuru;
Kwa ufupi ni kwamba kila nikimuuliza anakanusha; na zaidi anasisitiza kuwa wale wanaoniambia kuwa ana mume eti wananitaka. Wapo wadada wawili walotoa habari kwa rafiki yangu kuwa niwe makini na huyo dem kuwa ana mume, alipojua - hadi sasa hawasemeshani kabisa.
Nikienda kwenye mtaa anaoishi - ni full kujiachia - wala anakuwa hana wasiwasi kabisa. Nashindwa kumuelewa mudada huyu.
Ushauri wako nitaufanyia kazi leo hii, jina na huyo mwanaume nimeishalipata, anapofanya kazi nimeambiwa - nitaenda kiofisi pale japo nia yangu itakuwa kumufahamu huyo mume, ila kuendelea na huyo mama nakuwa na wasiwasi;

La kushangaza aliwahi kunambia eti nimtafutie nyumba ya kupanga ili awe huru saidi.
 
Damu ya nani tena! Nina mpango wa kumtafuta mume wake nikaongea naye.

mtafute ukiwa na helmet kichwani,gloves pamoja na zana nyingine yaani maandalizi kabisa ya kivita!uje kwangu na stori eti eeeeh unajua kaka me nimemla mkeo kwa miaka miwili but ooooh sikujua kuwa ameolewa?naanza na wewe uliye mbele yangu namalizia na huyo hawarako!
 
Ila mimi sina kosa lolote!

Kosa unalo unatembea na mke wa mtu. Haiwezekani kwa miaka miwili usijue kama ana mume au hapana. Ulishindwa kusoma, lakini hata kuangalia picha?
 
Ni zaidi ya miaka miwili nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye daima huwa ananambia kuwa hana mume. Jana nikakutana ma rafiki yake ambaye yeye ananifahamu mi simfahamu. Nikasikia ananiita Shem - nikamuuliza shem kwa nani; akanambia shem kwa xxxxxxx. Nikamwambia simfahamu mimi. Huyo mama akanambia hivi "Pamoja na kwamba umesema humfahamu, mi nakufahamu na tayari mume wake naye anakufahamu"

Nimfanyeje? Nimwambie au nimchunie tu!

We unatafuta kunasiana we endelea
 
Ni sahihi, niliwahi kuambiwa siku za nyuma, nilipomuuliza akanikatalia. Siku moja nikaamua kukaa naye hadi usiku wa saa 5; then nikamsindikiza na kumpeleka anakoishi, hakutaka nifike nyumbani anakoishi. Huyo mudada alonambia jana wamepanga nyumba moja na huyo dem wangu.... nimfanyeje?

Miaka miwili na hujawahi kufika kwake wala kujua kama anaishi na mtu?
 
Mhh....labda mumewe alikubali atafute nje..
huwezi jua...
 
Miaka miwili na hujawahi kufika kwake wala kujua kama anaishi na mtu?

Nafikiri nimejieleza sababu zilizonifanya nishindwe kufika anakoishi (nyumbani) kwa maelezo yake anadai anaishi na mama yake mdogo (na baba - mume wa mama yake mdogo) pamoja na mtoto wake mmoja + mfanyakazi. Siku nyingine huwa ananipigia sm akiwa nyumbani anampa mtoto sm - mtoto ananisalimi "SHIKAMOO BABA" Mtoto angekuwa na baba hapo nyumbani si angehoji huyo ni baba wa wapi? Ananichanganya kwa ujumla ndo maana nikaja hapa kuuliza.
 
Kosa unalo unatembea na mke wa mtu. Haiwezekani kwa miaka miwili usijue kama ana mume au hapana. Ulishindwa kusoma, lakini hata kuangalia picha?

Kwa kuwa nilimuuliza akakataa kuwa hana mume kosa langu nashindwa kuliona.
Muda wowote, siku yoyote nikimuhitaji anakuja haraka sana; na anakaa muda mrefu bila wasiwasi. Kuna kipindi tulikuwa tumezoea siku za J.mosi na J.pili ni kushinda wote mahali.
 
Back
Top Bottom