Nimfanyeje mwanamke huyu?

Nimfanyeje mwanamke huyu?

Kila mara huwa nawashauri watu humu ndani kuwa kuna utofauti mkubwa kati ya GF na mke.
Unapoamua kumjali GF siku zote usitegemee return, maana mtu huyo anaweza kuwa kitu chochote wakati wowote.
Mwanamke ni wako akiwa ndani kama mke(nayo siku hizi naona inapotea), akiwa GF huyo bado ni wa wengi.

Kweli kabisa...
 
Tatizo la maboya nyie, hata muambiweje ... utasoma mi-ushauri yotehapa then bofore u sleep utampigia tena na kuanza tena mapenz
 
kha huyo dada noma...yaani kaendagegeddwa kwenye threesome...balaaa!!!

dah pole sana wangu ila huu ntindo wa wanaume kusomesha haungii akilini kusema kweli. imekula kwako hiyo mwana.

najua watu wengi huwa wanashindwa kukuelewa mara nyingi sana but ukweli i like your brain.
ni wachache sana ambao wataona nilichokiona kwenye haya maneno yako nimejifunza kitu.
i wish nikuletee Klein wangu umfunze akili ya maisha
 
Wewe ni kitumbua sana ume enda kusomesha wakati kuna wanawake walisasomeshwa na wazazi wao.
 
Cha kufanya mdanganye aje akupe bao la mwisho nunua condom aina trajon na then akija umle tigo after that mwambie achape lapa mfukuze kama mbwa koko otherwise utakuna kufa kabla ya muda wako.
 
Mimi ni mtanzania mwenye jinsia ya kiume nina umri wa miaka 33, nina tatizo lina nipa shida katika maisha naomba ushauri wenu wana JF. nlipata msichana ambae alikua amezalishwa na mwanmme asiyekua na msimamo wa maisha na yeye msichana akiwa kaishia kidato cha nne na matokeo mabovu....tulipendana na na huyo mwanamke nikawa na matarajio ya kufunga nae ndoa japo alikua na mtoto, ili awe mke mwenye manufaa nikajitolea kumpeleka shule akachagua chuo cha wanyama pori ambacho ni bei mbaya na kinalipiwa kwa dola, kipato changu ni kidogo ila nikajitahidi kujibana kumuandikisha hapo chuo na kutokana na kutokidhi kiwango cha kujiunga na chuo akatakiwa kuanza na Foundation course ambayo nililipa zaid ya mil. 2 akajitahidi akafaulu na kujiunga na cheti mwaka 2008, kwa bahat nzuri baba yake mdogo akasaidia kuchangia ada hadi akamaliza cheti, mungu akasaidia akapatikana mfadhali wa kumsomesha toka marekani ambapo alimlipia ada ya Diploma aliyomaliza mwaka jana,na atamsomesha DIGRII. katika kipindi hiko chote alinifanyia vitimbi vingi ambavyo nilivivumilia kiasi kikubwa, kwan alidiriki hadi kunisaliti lakini nilisamehe na kuvumilia kwani nilijua na kuwekeza kwake kua atakua mke wangu. mwaka huu amepata ajira serikalini ana mwezi wa 6 sasa cha ajabu amekua akinifanyia vitimbi vingi japo yupo mbali na mimi ila anavionyesha mfano mdogo ni kwenye sikukuu iliyopita amtoka kwenye kituo chake cha kazi na kwenda mjini kulewa akidai amelala chumba kimoja na rafiki yake wa kike na mumewe, kifadha hana msaada na huku anajua mim kwa sasa ni mwanafunzi chuoni.WADAU NIFANYEJE?? NIMKWAMA MKE NATAKA ILA NDIO HUYO NMECHOKA JAMANI
usijiongoze kwa ubinadamu bali ujiongoze kwamtumia Mungu zaidi.....
 
Mimi ni mtanzania mwenye jinsia ya kiume nina umri wa miaka 33, nina tatizo lina nipa shida katika maisha naomba ushauri wenu wana JF. nlipata msichana ambae alikua amezalishwa na mwanmme asiyekua na msimamo wa maisha na yeye msichana akiwa kaishia kidato cha nne na matokeo mabovu....tulipendana na na huyo mwanamke nikawa na matarajio ya kufunga nae ndoa japo alikua na mtoto, ili awe mke mwenye manufaa nikajitolea kumpeleka shule akachagua chuo cha wanyama pori ambacho ni bei mbaya na kinalipiwa kwa dola, kipato changu ni kidogo ila nikajitahidi kujibana kumuandikisha hapo chuo na kutokana na kutokidhi kiwango cha kujiunga na chuo akatakiwa kuanza na Foundation course ambayo nililipa zaid ya mil. 2 akajitahidi akafaulu na kujiunga na cheti mwaka 2008, kwa bahat nzuri baba yake mdogo akasaidia kuchangia ada hadi akamaliza cheti, mungu akasaidia akapatikana mfadhali wa kumsomesha toka marekani ambapo alimlipia ada ya Diploma aliyomaliza mwaka jana,na atamsomesha DIGRII.
katika kipindi hiko chote alinifanyia vitimbi vingi ambavyo nilivivumilia kiasi kikubwa, kwan alidiriki hadi kunisaliti lakini nilisamehe na kuvumilia kwani nilijua na kuwekeza kwake kua atakua mke wangu. mwaka huu amepata ajira serikalini ana mwezi wa 6 sasa cha ajabu amekua akinifanyia vitimbi vingi japo yupo mbali na mimi ila anavionyesha mfano mdogo ni kwenye sikukuu iliyopita amtoka kwenye kituo chake cha kazi na kwenda mjini kulewa akidai amelala chumba kimoja na rafiki yake wa kike na mumewe, kifadha hana msaada na huku anajua mim kwa sasa ni mwanafunzi chuoni.
WADAU NIFANYEJE?? NIMKWAMA MKE NATAKA ILA NDIO HUYO NMECHOKA JAMANI

jamani kuna watu wanabahati lakini wanazichezea.yani ningeipata mm iyo.....ila tatizo upere unawapata wasiojua kujikuna.kuna watu tunazitafuta bahati kama izo usiku na mchana lakini hatuzipati.
 
najua watu wengi huwa wanashindwa kukuelewa mara nyingi sana but ukweli i like your brain.
ni wachache sana ambao wataona nilichokiona kwenye haya maneno yako nimejifunza kitu.
i wish nikuletee Klein wangu umfunze akili ya maisha

asante besty kwa kuyaona hayo wasiyo yaona wenzio....wee mlete dogo tumpe wisdom hapa
 
umeliwa kekundu! na ata km ukimuoa bado atakusumbua tu,so achana nae
 
Mimi ni mtanzania mwenye jinsia ya kiume nina umri wa miaka 33, nina tatizo lina nipa shida katika maisha naomba ushauri wenu wana JF. nlipata msichana ambae alikua amezalishwa na mwanmme asiyekua na msimamo wa maisha na yeye msichana akiwa kaishia kidato cha nne na matokeo mabovu....tulipendana na na huyo mwanamke nikawa na matarajio ya kufunga nae ndoa japo alikua na mtoto, ili awe mke mwenye manufaa nikajitolea kumpeleka shule akachagua chuo cha wanyama pori ambacho ni bei mbaya na kinalipiwa kwa dola, kipato changu ni kidogo ila nikajitahidi kujibana kumuandikisha hapo chuo na kutokana na kutokidhi kiwango cha kujiunga na chuo akatakiwa kuanza na Foundation course ambayo nililipa zaid ya mil. 2 akajitahidi akafaulu na kujiunga na cheti mwaka 2008, kwa bahat nzuri baba yake mdogo akasaidia kuchangia ada hadi akamaliza cheti, mungu akasaidia akapatikana mfadhali wa kumsomesha toka marekani ambapo alimlipia ada ya Diploma aliyomaliza mwaka jana,na atamsomesha DIGRII.
katika kipindi hiko chote alinifanyia vitimbi vingi ambavyo nilivivumilia kiasi kikubwa, kwan alidiriki hadi kunisaliti lakini nilisamehe na kuvumilia kwani nilijua na kuwekeza kwake kua atakua mke wangu. mwaka huu amepata ajira serikalini ana mwezi wa 6 sasa cha ajabu amekua akinifanyia vitimbi vingi japo yupo mbali na mimi ila anavionyesha mfano mdogo ni kwenye sikukuu iliyopita amtoka kwenye kituo chake cha kazi na kwenda mjini kulewa akidai amelala chumba kimoja na rafiki yake wa kike na mumewe, kifadha hana msaada na huku anajua mim kwa sasa ni mwanafunzi chuoni.
WADAU NIFANYEJE?? NIMKWAMA MKE NATAKA ILA NDIO HUYO NMECHOKA JAMANI
Bado unamwita yule jamaa aliyekimbia kwamba hakuwa na msimamo kimaisha?na yeye alikuwa na jinsia ya kiume hivyo hivyo kama wewe.tofauti yenu ni kwamba yeye aliona mbali, na huenda hata mtoto hakuwa wake.Hebu fanya maamuzi haraka, acha kuutesa moyo.Mpaka muda huu bado unaamini kwamba mtaoana?mwenzio alikuwa anatafuta mtu wa kumsaidia kulea mtoto wake, na hatimaye alikupata, ila kwa sasa ameanza kujitegemea, na hakuhitaji tena.
Halafu kwanini mkiachwa mnapenda kutaja gharama mlizotumia kwa wapenzi wenu?Najua na wewe ulikuwa unaburudika wakati hela inakutoka.kwa hiyo hapa hakuna aliyepata hasara.Ni sawa sawa na kwenda kwa changudoa ukamlipa na akakupa hicho ulicholipia.Fanya maamuzi sasa.
 
Ningepata mvumilivu kama ww, loh. piga chini huyo hakuna mjadala.
Deepa msaidie huyu.Ila ujue ana mahesabu kinoma, ukimsaliti tu, anakuonyesha bajeti yote aliyokugharamia.
 
Last edited by a moderator:
najua watu wengi huwa wanashindwa kukuelewa mara nyingi sana but ukweli i like your brain.
ni wachache sana ambao wataona nilichokiona kwenye haya maneno yako nimejifunza kitu.
i wish nikuletee Klein wangu umfunze akili ya maisha
Mpeleke Klein kwa GateCrasher, ni mwalimu mzuri na mvumilivu kama huyu mlalamikaji.
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu. There is a day atakumbuka upuuzi wote aliokufanyia.
Huyu dada mzoefu, hawezi kukumbuka.Hapa anasubiri amalize kusomeshwa degree amkimbie huyu sponsor wa degree, aende akaanze kuiba mume wa mtu. "Waume za watu jiandaeni kupokea kijiti hapa".
 
kuna dem mmoja nilipiga chini faster baada yakungundua ni kirusi ndani ya maisha yangu alipata zero meta sec. Nikamtafutia chuo cha ufundi cha ajabu alipohitimu siku tu amepata cheti kesho yake na kutana naye nyondo ilikuwa kubwa sana nikamwambia wewe utakula jeuri yako nilimwapia nikamwambia cheti hakika hutakitumia alicheka sana nikamwambia nenda kakifiche kuanzia leo ila nitakuja kukichukua. nilikichukua hakuamini alipokuja kuangalia alipoweka hakukikuta kesho asubuhi alikuwa kwangu. Viatu miguuni vilikuwa vimeshindikana kuvaliwa, aliliya kama amefiwa lakini hakika cheti hakukiona hadi leo. na huo ndio ulikuwa mwisho wa mimi kuwa karibu nami.
wewe kweli nimeamini ni Mwanaweja
 
Last edited by a moderator:
Dah kumbe wanaume ma gentlemen bado wapo duniani! Mi nilidhani walishaondoka na zama za analogia. Mweeh! I wish to get one like you. Mi sihitaji kusomeshwa wala hela ya wanja ila commitment na upendo wa kweli! Anyway, kila mtu na bahati yake bana. wanasemaga penye miti hamna wajenzi. Sijui ni kweli!!!!!!!!!!:thinking:

Back
Top Bottom