Godfrey amoke
New Member
- Oct 29, 2012
- 1
- 1
Move on, maumivu yatakuwepo lkn time is the best healer. Too bad kwa mdada kwani 'mkataa pema, pabaya panamwita'.
Hapo kwenye red umenena kabisa, ni suala la kuomba uzima tu
Yaani naweza fastfoward 2 years later, mdada sijui katendwa tena anajirudisha kwa Godfrey na kuomba warudiane. Life ni kitu kingine aisee.
Mambo hayo, tulisimuliwa, tukayaona/yaishi na tutaendelea kuyaona. Same mistakes, na matokeo ni yale yale!
Nilikua katika uhusiano na msichana mmoja wa chuo fulani,kwa mda mfupi tulipendana kwa kiasi ambacho sikutarajia,tukapanga jinsi maisha yetu yatakavyo kua hapo baadae,cha ajabu baada ya kufungua chuo akaridi chuoni baada ya wiki km mbili napiga cm anapokea kwa unyonge then nasikia sauti ya mwanaume ikabid nikare cm then sms inaingia kwenye cm yangu kua tusitishe uhusiano coz ameamua kurud kwa boy wake wa zamani anaesoma nae,da imeniuma sana mpaka leo na nampenda sana sipendi nimuache bt ikibid ntafanya hivyo.Je nifanyeje
kubali yaishe mwana...ulishakoseaga step toka long tym. kamatia mwengine na ushauri wa bure ni huu;; kwenye mapenzi ya sasa unatakiwa mguu ndani mguu nje....kuwa ready kusepa any time.
MZABZAB Unatisha Kwa Mashauri Jiwe!!