sidhani km atabadilika. Idadi ya madem imeniogopesha, ctaki kufa.mpe second chance kama na wewe wampenda lakini kwa uangalifu
sidhani km atabadilika. Idadi ya madem imeniogopesha, ctaki kufa.
inawezekana ndugu, inategemea na m2.Mh! mwaka mzima hajakuchakachua kweli?! kw mapenzi haya y cku hiz!! haingii akilini ht kidogo
sa we yanakuhusu nin mkuu,achakachuliwe/acchakachuliwe ni yeye mwenyewe na ki2mbua chake.Mh! mwaka mzima hajakuchakachua kweli?! kw mapenzi haya y cku hiz!! haingii akilini ht kidogo
kweli kabisaa.sikiliza moyo wako dada...huwa haudanganyi!
Mh! mwaka mzima hajakuchakachua kweli?! kw mapenzi haya y cku hiz!! haingii akilini ht kidogo
nguo naweza nisizisemee, na msgs kwa sim je? Nazo walisahau? First expresion inadetamine mambo bdae yatakuwaje bwana. Mi ninachotaka asinisumbue sumbue tena.Wewe msichana, always unapoingia kwenye mahusiano lazima unamkuta mwanaume ana mambo yake kibao, na nguo lazima utakuta tu, mie nilipoachana na x wangu sikuchukua nguo zangu ina maana mwingine akizikuta atasema naendelea nae wakati hata sikurudi nyuma, wewe sasa kuanzia hapo unaingia na sheria zako na mambo mengi tu, na atabadilika tu kama anakupenda
vi2lizo kumi? Hapana jamani! Ningekuta kamoja ningewait ila vyote ivyo lazma ni mgonjwa wa akili.Labda nianze hivi 'No man is hero before a woman',invyonekana hukumpenda huyo jamaa kwa moyo wako wote,na kama unampenda unauwezo wa kumbadilisha mtu wako akawa katika hali nzuri,akaachana na kila kitu ambacho kinamaudhi kwako.Pia angalia na jaribu kujihoji mwenyewe why is he doing that?Chukua hatua jaribu kumdadisi kwanini anatenda hilo;hayo yote ni udhaifu wa wanadamu,usichukulie kwa hasira kihivyo.Pili usipende kumbania mtu wako kama mko wote,hiyo inampa yeye mwanya wa kutafuta vitulizio nje.KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA