Nimfanyeje asije kuyachukia mapenzi

Nimfanyeje asije kuyachukia mapenzi

Sijaelewa kwa nn ulimpa nguo za mama yako wakat haujamuoa hivi ulitumia akili kweli au ilikuwa kipofu? Ulishindwa kumnunulia nguo zake mpaka umpe za mama yako? Maana ya kukurudishia maana yake hafit,
sio kuwa siwezi kumnunulia ila nilimthani pia kumpa nguo za mama...hata hivyo ningezifanyia nn
 
Km umeanza kusikiliza ya watu mapema namna hii hata ukimuoa utamuacha au utamsumbua tuu ila mhhm mapenzi bwana huwa hayashauliki.

Ww mwenyewe shahid wa umeomba ushaur lkn unamajibu tayar kichwan mwako
 
Palipo na baraka, baraka huonekana mapema tu na kadri mda unavyokwenda, nyumbani kwao na binti haukubaliki na umesema binti naye alikukataa ndo maana akakurudishia nguo za mama yako, sasa je unalazimisha nini sasa? KUNA UPENDO HAPO AU NI UPOFU WAKO TU? Brother tafuta mbaraka kwa binti mwingine UOE acha mazoea ya ngono na huyo binti maana ndiyo yawasumbuayo wote wawili wala si UPENDO.
 
Usiharakishe kuoana tafuta ni kwanini kohoo zenu azioani jaribu kuliza kwa wazee.Muombe Mungu akupe wepesi juu ya hilo jambo.
 
Palipo na baraka, baraka huonekana mapema tu na kadri mda unavyokwenda, nyumbani kwao na binti haukubaliki na umesema binti naye alikukataa ndo maana akakurudishia nguo za mama yako, sasa je unalazimisha nini sasa? KUNA UPENDO HAPO AU NI UPOFU WAKO TU? Brother tafuta mbaraka kwa binti mwingine UOE acha mazoea ya ngono na huyo binti maana ndiyo yawasumbuayo wote wawili wala si UPENDO.
hapa napo nimepata kitu...kweli kurudisha nguo tna za marehu mama yangu sio picha nzr...heri hata angelizitunza nisingelijua...naendelea kupata mawazo...asante pia wanaotumia maneno makali pengine imewakera
 
kwa uhalisia ni kweli hakunitendea sawa..hata mm nilijisikia vibaya sana
Siku nyingine usifanye maamuzi kwa kukurupuka ungekuwa mkeo sawa lakini mpenzi unampaje nguo za mama yako bwana
 
Back
Top Bottom