Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
sasa mkuu unataka kumpelekea sister wake mifugo ya HIV halaf unataka azime radio? mimi nahisi alikuheshim sana, kuna kes kama yako ilitokea , yule shemeji alimramba vichwa mume wa sister wake mbaya sana. mpaka leo kesi inaendelea, shemeji yuko nje kwa zamananimfanyeje shemeji yangu maana yeye ndiye aliyekwenda kumuambia dada yake
Nakuambia,ndani hakulaliki nje hakutokeki bibie anang'ura yeye 2 na hivi navyochezea cmu ndio kabisaa anazidi kukacrika.hahahaha shemeji hana koromeo yeye yanamuhusu nini...
Nakuambia,ndani hakulaliki nje hakutokeki bibie anang'ura yeye 2 na hivi navyochezea cmu ndio kabisaa anazidi kukacrika.
Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Jamani leo yamenikuta mwenzenu nikiwa namuaga kwa d*nda zito My nyumba ndogo wangu shemeji yangu wa kiume akaniona na kuniambia ya kuwa sio vizuri ninachokifanya na kuondoka zake na kwenda kumuambia dada yake ya kuwa ameniona,bac kidume kufika nyumbani nikakutana na kesi,mie nikakataa kuwa hakuniona na wala cna demu nje,ikabidi aitwe na kuulizwa anakubali kaniona na mie nakataa ya kuwa hakuniona na wala ckufanya hiyo kitu,mpaka sasa sijalala napigiwa kelele natishwa,nafinywa,napigwa na mito yaani vurugu humu ndani amani ishaanza kutoweka na My wife wangu kawa mkali ajabu. Je? Nimfanyeje shemeji yangu huyu.
Wakifa na ngoma, yeye ndie atakaye achiwa watoto awatunze.hahahaha shemeji hana koromeo yeye yanamuhusu nini...
Huna kitu cha kumfanya, maana alikuwa sahihi kumjulisha dada yake kitu alichoona ili dada yake ajihadhari na wewe. Kumbuka wewe sio ndugu wa hao wawili yaani (mkeo na shemejio). Kwanza nafikiri huyo shemeji yako alikuheshimu sana maana kama ni hao mashemeji waliopinda, naamini usingekwepa adhabu ya kipigo. Najua huwezi kuiacha nyumba yako ndogo maana tayari umeshikwa na "adui" Kama ni wale wenye hofu ya mungu ningekuambia uache tabia hiyo mara moja maana ni hatari kwako na familia yako. Majuto ya haya mambo ya kuhangaika ni mabaya kupita unavyofikiri.Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Jamani leo yamenikuta mwenzenu nikiwa namuaga kwa d*nda zito My nyumba ndogo wangu shemeji yangu wa kiume akaniona na kuniambia ya kuwa sio vizuri ninachokifanya na kuondoka zake na kwenda kumuambia dada yake ya kuwa ameniona,bac kidume kufika nyumbani nikakutana na kesi,mie nikakataa kuwa hakuniona na wala cna demu nje,ikabidi aitwe na kuulizwa anakubali kaniona na mie nakataa ya kuwa hakuniona na wala ckufanya hiyo kitu,mpaka sasa sijalala napigiwa kelele natishwa,nafinywa,napigwa na mito yaani vurugu humu ndani amani ishaanza kutoweka na My wife wangu kawa mkali ajabu. Je? Nimfanyeje shemeji yangu huyu.
Wakifa na ngoma, yeye ndie atakaye achiwa watoto awatunze.
Yeye ndie atakaye hangaika na hospital bills.
Au wewe ndie utakaye lea yatima?