nimfanye nini "mke" huyu?

6alfabet

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
389
Reaction score
69
ukweli nipo kwenye husiano lakini balaa tu mke ana uwezo mme mtupu tunaishi tu atujaoana ukweli nikama kaniweka ndani tangu tumekutana sijawai kuwa na faida nae kimaisha yeye akija kwangu anataka nimgegede tu tukipanga avi pangiki niki muuliza mstakabali wa maisha anaitikia tu niki mwambia tuachane anadai ananipenda na ananitishia atanifanya kitu mbaya "ushauri wenu nifanye je jamani niepukane na hili janga"
 
mwache tu anatishia,uzuri mmeshaishi pamoja vya kutosha na umeshagundua jinsi alivyo.
 
Kama hamjaoana nini kinakuzuia kumkimbia?
Wewe binafsi una mpango gani wa kutafuta shughuli ya kipato ili uachane naye kwa kujiamini?
Inaonyesha humpendi lakini unakosa maamuzi kutokana na kutokuwa na chapaa!
 
^^
Mke?? Mnaishi tu,,hafu hamjaoana..
Hivi ni kwa nini ndoa mnaiona kichwa cha mwendawazimu ambapo kila mtu anajifunza kunyoa?
^^

da! ukweli ndoa najua nijambo jema lakini kwangu bado ujanishawishi maana najifunza kutoka kwa wengine.
 
mmeoana au umeolewa mkuu?
kuna tofauti kati ya hivo vitu viwili unajua. au unaturusha kabobo labda sio wife wala nini, sasa mmeoana hata mishe za wife wako huzijui? afu inakuaje kama mwanaume unakaa ndani tu na kuridhika ati ni kama kaniweka ndani, go out fanya kazi na wewe simama kua na mshiko akae kimya, inashangaza hataki kuachia mzigo, hahaha yani yeye akija kwako anajipimia tu afu anasepa.. Duh! hahaha pole sana msela
 
Kama hamjaoana nini kinakuzuia kumkimbia?
Wewe binafsi una mpango gani wa kutafuta shughuli ya kipato ili uachane naye kwa kujiamini?
Inaonyesha humpendi lakini unakosa maamuzi kutokana na kutokuwa na chapaa!

nikweli kama ulivyo sema ndo maana nikaomba ushauri najua nitapata mwanga
 
Muache UCHUKULIWE MSUKULE ukalime GAMBOSH huko! Heri nusu uhuru kuliko utumwa kamili.
Ha ha haaaaa! Mtoto una maneno wewe! Nimejikuta nacheka bila kutarajia!
 
Hahaha mbumbumbu mzungu wa reli...nacheka utadhani mazuri.

Kaka hebu jikaze basi uache kutuaibisha wanaume wenzio...au weye ni mvulana?
 

nimesha poa ndugu na mbona najituma
 

 
Hahaha mbumbumbu mzungu wa reli...nacheka utadhani mazuri.

Kaka hebu jikaze basi uache kituaibisha wanaume wenzio...au weye ni mvulana?

poa ndugu nimekuelewa mimi ni mwanaume
 
Hahaha mbumbumbu mzungu wa reli...nacheka utadhani mazuri.

Kaka hebu jikaze basi uache kituaibisha wanaume wenzio...au weye ni mvulana?

aya bwana nimekuelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…