Nimfanye nini huyu office-mate?

Mimi nina buddy wangu, ni handsome na ana mwili wa mazoezi, kapanda hewani, msafi. Sasa hapo ofisini kwake wake za watu wanafanya kugongana.
Kila mmoja anataka awe naye, mwenzako anawapa live kabisa hatembei na mke wa mtu, akitaka mpenzi atatafuta aliye single.

Sasa wewe mchekee huyo atakubadilishia kibao wewe kuwa unamsumbua. Heshima yako yote itashuka. Huyo anataka umkandike mimba ambambikie mumewe.
Za kuambiwa changanya na zako.
 

Binadamu viumbe wa ajabu sana! Hapo na mke wangu anamfahamu, wanaongea kwa simu mara kwa mara, lkn mtoto wa kike kajito fahamu mpk siamini!
 
Speak out in a serious and respective manner in a right place at a right time. Maanisha unachokiongea! Be a man!
 
.....muendelezee story zako za wanao na mkeo, atakuacha, na ikibidi weka fremu ya picha ya familia yako mezani kwako.





#MosKwito !
 
Mwambie kwamba hizo nguo fupi hazimpendezi na ukiona kakuonesha chachandu, mwambie pandisha skirt kiuno kinaonekana..... lazima ataacha ila mwambie kama masihara masihara hiv ila ujumbe utamfikia.

Pia amkatishe tamaa like sipendi madudu haya wanawake wanaovaa vitu hivi wananishangaza, naona kama waganga wa kimasai, apende kumuongelea mke wake pia like I real love and respect my wife yaani anavaaga nguo ndefu anapendeza saana, na ukiona matiti yake anza kusifia za wife wako tu like my wife ana saa 6 utasema hajanyonyesha, yani akimkatisha tamaa itapunguza kidogo
 
Kwani ukimpotezea, ukamdharau na mambo yake utapungukiwa nini
au ndi sitaki nataka?
 
Watu wengine wananishangaza sana, hukujua kuzoeana na mke wa mtu kuna hasara zake?? au ulijiona very understanding person?? wewe ndio source ya matatizo yako and you will be the only solution of your problems. Badilikeni bwana, think ahead and not where you are!!!
 
Kaa nae chini mwambie unavyojisikia kuhusu yeye, sababu mnajuana tangu zamani nina uhakika atakuelewa, mwambie wewe dada yangu ninakuheshimu sana sikuwahi kukuona na mavazi ya namna hii, mbona siku hizi umebadilika sana kitabia

Kuwa muwazi atakuelewa
 
kaka huyu mtu ana njia zote za kufanya na akakwepa haya matatizo wala hahitaji kuomba msaada. Tatizo anataka sisi tu justify makosa yake. No way!!!!!!! He need to carry his own cross!!!!
.....muendelezee story zako za wanao na mkeo, atakuacha, na ikibidi weka fremu ya picha ya familia yako mezani kwako.





#MosKwito !
 

Naomba Kuuliza Je Wewe ni Mwanaume Halisi au Ni Mliberali? Unataka Sisi Wanaume Wenzako Tukushauri Nini Tena Hapo? UNAULIZA MADAWA YA KULEVYA MWANANYAMALA? au UNAULIZA UCHAWI MBAGALA? au UNAULIZA BANGI LONGIDO na TARIME? Ukinijibu Kama Wewe ni Dume Kamili au Mliberali Ndipo Nitakushauri.
 
lara1 kuna mtu anahitaji councelling huku!
 
Last edited by a moderator:

dont ever let someones wife to talk to you that much..because from a shoulder to cry on will soon be a d**k to ride on
Jamani tyta weka picha tafadhari
 

Kigegedio chako kimekwenda wapi kwani?
 
ndio video ya aina gani hiyo? nataka kufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…